new!

kitalembwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
3,607
Reaction score
9,430
Habarin wanajukwaa! Nadhan mnaendelea vizuri na pilika pilika za kila siku! mimi ni mdau mzuri wa JF ila sijawahi kua memba! ndo nimejisajili, naombeni ridhaa yenu wakuu nmipokee kwa mikono miwili! nawasilisha
 
Karibu sana mkuu,
jisikie upo mtandaoni, usiulize tupo wangapi, kwa kuwa wengi tuna ID zaidi ya moja idadi haijulikani.
ukifungua ID ya 2 jitambulishe kwenye lile jukwaa husika.
 
nashukuru sana mkuu tupo pamoja
 
Jinsia yako tafadhali,kama ke njoo pm kama me endelea kuzunguka majukwaani
 
Habarin wanajukwaa! Nadhan mnaendelea vizuri na pilika pilika za kila siku! mimi ni mdau mzuri wa JF ila sijawahi kua memba! ndo nimejisajili, naombeni ridhaa yenu wakuu nmipokee kwa mikono miwili! nawasilisha

Wewe mbona kama mgen !??
 
Last edited by a moderator:
Habarin wanajukwaa! Nadhan mnaendelea vizuri na pilika pilika za kila siku! mimi ni mdau mzuri wa JF ila sijawahi kua memba! ndo nimejisajili, naombeni ridhaa yenu wakuu nmipokee kwa mikono miwili! nawasilisha
Ndio maana swaga zako za kienyejienyeji!haya bwana karibu hatuna haja ya kukuonyesha njia mgeni mwenyeji wewe! tafuta jukwaa lak nawe usimange na kuzodoa watu!
 
Wewe ni mzoefu umebadili username tu mgeni una nyuzi 12 ndani ya siku 6
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…