majany
JF-Expert Member
- Sep 30, 2008
- 1,223
- 585
Karibu sana.
Kwa masuala ya kula kula kule jukwaa la Chef utawasiliana na mama yangu mwaJ
Kwa masuala ya chitchat raisi ni Arushaone lakn pia ana msaidizi wa uchumba na ndoa kama bado upo upo nao ni Baba V na watu8.
Lakn kaa mbali na Asprin hichi kibabu ni kikaguzi na kina wake 4 na concubines kibao kama mfalme suleiman.
Siasani umuone family member my super dad Mwita Maranya .
Tunaye mwinjilisti ladyfurahia na mtumishi Bujibuji (huyu sikuhizi amerudi nyuma uwe makini nae)
Kama unahitaji mkopo wa biashara wasiliana na Bishanga .
My love stevoh huyu ni multi purpose kila kazi anaweza.
My anty Kongosho ni mama makavu live wakisaidiana na KINGásti Snowwhite na wengine
kuna wengi sana utajua kazi zao taratibu kama manoah mimisa Mr Rocky Tetra Nicas Mtei majany Superman etc etc .
Kwa ufupi familia yetu ni super extended family.. karibu sana
Good presentation my 'X'