Newcastle oyeeee

Mr. Mangi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
1,514
Reaction score
768
Ndugu wana Jf leo nimefurahishwa sana na matokeo ya Newcastle 02 vs Chelsea 01, hawa mashabik wa chelsea mtaani palikuwa hapatoshi mara ooh tunavunja rekod ya Arsenal mara ooh blah blah kibao, leo wamekiona. ARSENAL 4EVER, COYG
 
woyeeeeeeee...nimeyapenda na stoke pia!!nayasubiri kwa hamu ya city kunyolewa kama arsenal
 
Mkuu kwani NEW CASTLE ni bia mpya? Mimi nishazoea kunywa CASTLE LAGER, CASTLE LITE NA CASTLE MILK STOUT.
 
Usishabikie kifungwa jiulize nani yupo kileleni?
 
Man city wanapewa penati ya upendeleo
 
Yani mie hata sisomi siredi ni ooooooyeeeee!!!!
 
Usishabikie kifungwa jiulize nani yupo kileleni?

Don't count your chickens b4 they are hatched! Ni chelsea wako kileleni, ila watu wengi wa Chelsea walikuwa wakitamba wanaenda vunja record ya Arsenal ya 2003-2004. It will never happen again in our generation.
 
woyeeeeeeee...nimeyapenda na stoke pia!!nayasubiri kwa hamu ya city kunyolewa kama arsenal

hlf we inaonekana ni shabik wa wale wabovu wanao ota kucheza Uefa mwakan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…