visagold
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 327
- 177
kaz mnayo labda kwa miujiza mwakan mtacheza Uefa
Taja timu yako ya EPL na useme umeshiriki mara ngapi UEFA na kuchukua ubingwa wa EPL mara ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaz mnayo labda kwa miujiza mwakan mtacheza Uefa
kumbe na we n arsenal kama mmNdugu wana Jf leo nimefurahishwa sana na matokeo ya Newcastle 02 vs Chelsea 01, hawa mashabik wa chelsea mtaani palikuwa hapatoshi mara ooh tunavunja rekod ya Arsenal mara ooh blah blah kibao, leo wamekiona. ARSENAL 4EVER, COYG