Newcastle oyeeee

Newcastle oyeeee

Mkuu kwani NEW CASTLE ni bia mpya? Mimi nishazoea kunywa CASTLE LAGER, CASTLE LITE NA CASTLE MILK STOUT.

kama kuna shabik wa chelsea karibu muulize analo jibu
 
Ndugu wana Jf leo nimefurahishwa sana na matokeo ya Newcastle 02 vs Chelsea 01, hawa mashabik wa chelsea mtaani palikuwa hapatoshi mara ooh tunavunja rekod ya Arsenal mara ooh blah blah kibao, leo wamekiona. ARSENAL 4EVER, COYG
kumbe na we n arsenal kama mm
 
Back
Top Bottom