Newcastle United 0-1 Manchester City: Pep hashikiki, afikisha mechi 20 bila kupoteza

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
5,402
Reaction score
6,081
Hapo Jana man city chini ya kocha wa dunia Pep guardiola waliendeleza ubabe katika ligi kuu ya uingereza (EPL) kwa kuifurumusha Newcastle utd bao 1-0 na hivyo kuiacha Manchester utd kwa point 16.

Kwa ushindi wa jana, city imefikisha mechi 20 za ligi bila kupoteza huku ikishnda 19 na kudraw 1.

Manchester utd ambao walianza kwa mbwembwe mwanzoni mwa ligi kwa ushndi wa magoli 4 kila mechi, wamegeuka waviziaji wanaocheza kwa kujilinda huku wakiendelea kupumulia mashine kwa mbinu za kizamani za mourinho.

Kwa hali ilivyo sasa hakuna wa kumkamata pep maana amewafumua big 4 wote na kuwaachia maumivu makali.

Teamcity


 
Post ya limbuken wa mpira mwaka jana conte mbona hamkumfungulia thread aliposhinda mech 12 mfululizo? Tena kwa idad kubwa ya magoli 4 au 3
 
Msimu uliopita alikuwa wap wakat anapigwa nne nne na wakina everton? Epl bado ligi ngumu bila usajili wa maana pale hutok
Kwan wengine hawajasajili tena kwa mbwembwe, epl timu zote zina uwezo sawa tena mdogo hata angekuja Barcelona huko angewafanya hivo
 
SASA radika MANCITY KAWEKA REKOD KUBWA, HUWEZ FANANISHA NA CHELSEA YA MWAKA JANA YA MECH 12.

HII YA CTY YA PEKEE
 
Na kama mlimuweza mwaka jana sa hiv mnashindwa nini??
Nnapokuambia ligi ya uingereza bila usajili wa maana ulikuwa unakataa nn ndo mana nimekwambia kama anajua mwaka jana kabeba nini? Ligi bado ni ngumu
 
Nnapokuambia ligi ya uingereza bila usajili wa maana ulikuwa unakataa nn ndo mana nimekwambia kama anajua mwaka jana kabeba nini? Ligi bado ni ngumu
Sio uingereza tu ligi zote zinataka usajili huwezi kutoka na kitimu chako cha ajabu epl ukabeba njoo laliga au bundesliga
 
Sio uingereza tu ligi zote zinataka usajili huwezi kutoka na kitimu chako cha ajabu epl ukabeba njoo laliga au bundesliga

Ktk hizo nchi alizopita msimu wake wa kwanza alikosa kikombe hata kimoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…