Newcastle United 0-1 Manchester City: Pep hashikiki, afikisha mechi 20 bila kupoteza

Sio uingereza tu ligi zote zinataka usajili huwezi kutoka na kitimu chako cha ajabu epl ukabeba njoo laliga au bundesliga
Tena alipofika tu city alimnunua sane,gundogan,johnstone,kipa yule wa chile, nolito, je aliambulia kitu achana na epl ndugu tunachokuambia hatubahatish timu kubwa bila kufanya usajili wa maana hata kama una cv kibwa utaumia tu alichezea nne nne kama yupo hull city vile
 
Nnapokuambia ligi ya uingereza bila usajili wa maana ulikuwa unakataa nn ndo mana nimekwambia kama anajua mwaka jana kabeba nini? Ligi bado ni ngumu
Mwakajana hakufanya kitu,maana hakuweza kufanya usajili na kutengeneza timu anayoitaka.Ndio maana msimu huu wa 2017/2018 amewaambia zaid ya wachezaji 7 waondoke ili atengeneze timu yake.

Kwa nini Pep atengeneze likodi kubwa katika ligi ngumu ambayo hakuwahi kuitengeneza katika ligi nyepesi huku akiwa na timu nzuri kama barca?,au Buyern?.
 
Tena alipofika tu city alimnunua sane,gundogan,johnstone,kipa yule wa chile, nolito, je aliambulia kitu achana na epl ndugu tunachokuambia hatubahatish timu kubwa bila kufanya usajili wa maana hata kama una cv kibwa utaumia tu alichezea nne nne kama yupo hull city vile
Huwezi kubadili timu nzima kwa mwaka mmoja,timu ilikuwa imejaa wazee kibao.
 
Post ya limbuken wa mpira mwaka jana conte mbona hamkumfungulia thread aliposhinda mech 12 mfululizo? Tena kwa idad kubwa ya magoli 4 au 3
Acha uchelsia Pep amevunja rekodi conte aliyoshindwa kuivunja ya Asernal bado jana amevunja rekodi yake akiwa bundasliga mechi 19 jana 20mech bila kupoteza

Who's the cape fit ......vingenevyo wewe mchawi
 
Teh mechi 12,unalinganisha na mech zaidi ya 18,na kwahivi vitimu vyenu atashinda zaidi ya mechi 25.
 
Mwakajana hakufanya kitu,maana hakuweza kufanya usajili na kutengeneza timu anayoitaka.Ndio maana msimu huu wa 2017/2018 amewaambia zaid ya wachezaji 7 waondoke ili atengeneze timu yake.

Kwa nini Pep atengeneze likodi kubwa katika ligi ngumu ambayo hakuwahi kuitengeneza katika ligi nyepesi huku akiwa na timu nzuri kama barca?,au Buyern?.

Usajili alifanya wa maana tu sema hakuwa na nguvu tu kanunua wachezaj wa watano wote magarasa msimu karud tena sokon kabahatika na timu alioikuta haikuwa mbovu city ilikuwa n watu wazur tu silva,de bryune,fernandinho,aguero,stelling,yaya toure, vicent company,otamend,mangala, lakim hakubeba kitu halafu mnasema epl nyepes wapi na wap wakat conte alimuongeza alonso na batshuay na cante kabena ndoo
 
Acha uchelsia Pep amevunja rekodi conte aliyoshindwa kuivunja ya Asernal bado jana amevunja rekodi yake akiwa bundasliga mechi 19 jana 20mech bila kupoteza

Who's the cape fit ......vingenevyo wewe mchawi
Inawauma saanaa watu wenye timu zao EPL,inaonekana Pep kama anawafanyia udhalilishaji.
 
Alikuwa na wachezaji wazee wengi asio wataka

silva,de bryune,fernandinho,aguero,stelling,yaya toure, vicent company,otamend,mangala

Heee hapo ambae hapat namba labda ni toure na mangala unaanzaje kusema wazee wengi???????
 
Na fist eleven yake wachezaji wapya wawili tu johnstone na sane
 
Alikuwa na wachezaji muzigo mfano zabaleta,Nolito,Navas,Nassiri,Sagna, Bravo nawengine wengi
Nolito na bravo kawaleta yeye utawaitaje mizigo? Hao uliowataja hapo wachezaj wa tatu wanabak anashindwaje kumaliza wa pili au wa kwanza kama anajua au kubeba hata kakombe kamoja?
 
Usajili alifanya wa maana tu sema hakuwa na nguvu tu kanunua wachezaj wa watano wote magarasa msimu karud tena sokon kabahatika na timu alioikuta haikuwa mbovu city ilikuwa n watu wazur tu silva,de bryune,fernandinho,aguero,stelling,yaya toure, vicent company,otamend,mangala, lakim hakubeba kitu halafu mnasema epl nyepes wapi na wap wakat conte alimuongeza alonso na batshuay na cante kabena ndoo
A ha ha ha kweli ushabiki umekujaa wachezaji watano wote magarasa?.

Wachezaji ambao hawakudeliva alikuwa ni bravo na nolito.Gudogan alipata injury ya msimu mzima,sane alicheza vizuri,gabriery alikuja January akacheza mechi tatu akaumia akarud game ya mwisho.

Sterling alikuwa kwenye kiwango kibovu ndio maana alitaka kuuzwa tena kwa kutoa fedha na sterling wampe Sanchez.

Yaya uzee tayari alikuwa nao na alikaa njee zaid ya mechi 15 kwasababu walipishana na pep baada yawakala wake kuzinguana na Pep.

Sasa mbona msimu huu kaachia wachezaji 8 waondoke,akasajili watanne/watano tu lakini anawatembezea vichapo.
 
Alikuwa na wachezaji muzigo mfano zabaleta,Nolito,Navas,Nassiri,Sagna, Bravo nawengine wengi
Nolito na bravo kawaleta yeye utawaitaje mizigo? Hao uliowataja hapo wachezaj wa tatu wanabak anashindwaje kumaliza wa pili au wa kwanza kama anajua au kubeba hata kakombe kamoja?

Timu ya mourinho aliyobeba vikombe viwili na hiyo ya city ipi ilikuwa nzur?
 
Back
Top Bottom