mogulnoise
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 2,435
- 5,541
We na uvccm ninduguwapuuzi tu city, mzunguko wa pili tutawachapa
Tena alipofika tu city alimnunua sane,gundogan,johnstone,kipa yule wa chile, nolito, je aliambulia kitu achana na epl ndugu tunachokuambia hatubahatish timu kubwa bila kufanya usajili wa maana hata kama una cv kibwa utaumia tu alichezea nne nne kama yupo hull city vileSio uingereza tu ligi zote zinataka usajili huwezi kutoka na kitimu chako cha ajabu epl ukabeba njoo laliga au bundesliga
Mwakajana hakufanya kitu,maana hakuweza kufanya usajili na kutengeneza timu anayoitaka.Ndio maana msimu huu wa 2017/2018 amewaambia zaid ya wachezaji 7 waondoke ili atengeneze timu yake.Nnapokuambia ligi ya uingereza bila usajili wa maana ulikuwa unakataa nn ndo mana nimekwambia kama anajua mwaka jana kabeba nini? Ligi bado ni ngumu
Mtaanzia wapi?wapuuzi tu city, mzunguko wa pili tutawachapa
Huwezi kubadili timu nzima kwa mwaka mmoja,timu ilikuwa imejaa wazee kibao.Tena alipofika tu city alimnunua sane,gundogan,johnstone,kipa yule wa chile, nolito, je aliambulia kitu achana na epl ndugu tunachokuambia hatubahatish timu kubwa bila kufanya usajili wa maana hata kama una cv kibwa utaumia tu alichezea nne nne kama yupo hull city vile
Kocha anaewatembezea vichapo akiwa na kikosi cha kawaida.Eti kocha wa dunia....shame on you
Acha uchelsia Pep amevunja rekodi conte aliyoshindwa kuivunja ya Asernal bado jana amevunja rekodi yake akiwa bundasliga mechi 19 jana 20mech bila kupotezaPost ya limbuken wa mpira mwaka jana conte mbona hamkumfungulia thread aliposhinda mech 12 mfululizo? Tena kwa idad kubwa ya magoli 4 au 3
Teh mechi 12,unalinganisha na mech zaidi ya 18,na kwahivi vitimu vyenu atashinda zaidi ya mechi 25.Post ya limbuken wa mpira mwaka jana conte mbona hamkumfungulia thread aliposhinda mech 12 mfululizo? Tena kwa idad kubwa ya magoli 4 au 3
Mwakajana hakufanya kitu,maana hakuweza kufanya usajili na kutengeneza timu anayoitaka.Ndio maana msimu huu wa 2017/2018 amewaambia zaid ya wachezaji 7 waondoke ili atengeneze timu yake.
Kwa nini Pep atengeneze likodi kubwa katika ligi ngumu ambayo hakuwahi kuitengeneza katika ligi nyepesi huku akiwa na timu nzuri kama barca?,au Buyern?.
Basi awe morinyo sijui kwa nini wanawake wa kizaramo mmna wivu wakijanga hivyoEti kocha wa dunia....shame on you
Inawauma saanaa watu wenye timu zao EPL,inaonekana Pep kama anawafanyia udhalilishaji.Acha uchelsia Pep amevunja rekodi conte aliyoshindwa kuivunja ya Asernal bado jana amevunja rekodi yake akiwa bundasliga mechi 19 jana 20mech bila kupoteza
Who's the cape fit ......vingenevyo wewe mchawi
Alikuwa na wachezaji wazee wengi asio wataka
Unaelewa point ya msingi au unajibu kwa mihemko?Teh mechi 12,unalinganisha na mech zaidi ya 18,na kwahivi vitimu vyenu atashinda zaidi ya mechi 25.
Na fist eleven yake wachezaji wapya wawili tu johnstone na sanesilva,de bryune,fernandinho,aguero,stelling,yaya toure, vicent company,otamend,mangala
Heee hapo ambae hapat namba labda ni toure na mangala unaanzaje kusema wazee wengi???????
Uyo ni shabiki mandazi awezi kukuelewaGame 19 na 12 ziko sawa?
Nolito na bravo kawaleta yeye utawaitaje mizigo? Hao uliowataja hapo wachezaj wa tatu wanabak anashindwaje kumaliza wa pili au wa kwanza kama anajua au kubeba hata kakombe kamoja?Alikuwa na wachezaji muzigo mfano zabaleta,Nolito,Navas,Nassiri,Sagna, Bravo nawengine wengi
A ha ha ha kweli ushabiki umekujaa wachezaji watano wote magarasa?.Usajili alifanya wa maana tu sema hakuwa na nguvu tu kanunua wachezaj wa watano wote magarasa msimu karud tena sokon kabahatika na timu alioikuta haikuwa mbovu city ilikuwa n watu wazur tu silva,de bryune,fernandinho,aguero,stelling,yaya toure, vicent company,otamend,mangala, lakim hakubeba kitu halafu mnasema epl nyepes wapi na wap wakat conte alimuongeza alonso na batshuay na cante kabena ndoo
Nolito na bravo kawaleta yeye utawaitaje mizigo? Hao uliowataja hapo wachezaj wa tatu wanabak anashindwaje kumaliza wa pili au wa kwanza kama anajua au kubeba hata kakombe kamoja?Alikuwa na wachezaji muzigo mfano zabaleta,Nolito,Navas,Nassiri,Sagna, Bravo nawengine wengi