inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
ntacheki..manake nimempa city kwenye mkeka..japo Roy hogson si mkabaji mzuri lakini moyoni Nina shaka kiasiMkuu usisahau leo kucheki cty
unasemaje mkuu..umeona man city anavotepeta..j4 tena na ana majeruhi..had march atakua anagombea top 4 na arsenal..amtazame sana chelseaMkuu usisahau leo kucheki cty
Mkuu unaamini cty wataendelea kuflop? Binafsi matokeo ya leo siyahusishi na mechi iliyopita kwa style yoyote ileunasemaje mkuu..umeona man city anavotepeta..j4 tena na ana majeruhi..had march atakua anagombea top 4 na arsenal..amtazame sana chelsea
Sometimes tuache ushabiki maandazi😉🙂unasemaje mkuu..umeona man city anavotepeta..j4 tena na ana majeruhi..had march atakua anagombea top 4 na arsenal..amtazame sana chelsea
ataflop na siyo kidogo..sifa zote za pundits akina Neville zitaishia hewani..tazama performance ya city..inajielezaMkuu unaamini cty wataendelea kuflop? Binafsi matokeo ya leo siyahusishi na mechi iliyopita kwa style yoyote ile
wametepeta au hawajatepeta?!Sometimes tuache ushabiki maandazi😉🙂
Sio usajili wa maana,ila usajiri wenye akili,pep ni kocha mzuri sana amini hiloNnapokuambia ligi ya uingereza bila usajili wa maana ulikuwa unakataa nn ndo mana nimekwambia kama anajua mwaka jana kabeba nini? Ligi bado ni ngumu
Yani kutepeta kwa ka droo kamoja?wametepeta au hawajatepeta?!
Tujikumbushe.Tunapishana unaponiambia ligi nyepes majeruhi kila timu inao kushuka na kupanda kwa viwango vya wachezaji vipo timu zote
Nakuuuliza msimu ulioisha kwa nn alibamizwa? Ukisema uzee bado sio point hamna mchezaj wa city alikuwa na miaka 36 ligi ya uingereza ni ngumu alianza kwa mbwembwe za gar sijui left hand kauli zlilikata hizo had akakimbilia sokon
Tujikumbushe .Ubovu angeonesha msimu uliosha had alikuwa anaitafuta nasaf ya nne kwa toch dadek hata kikombe cha maj hamna
Mtawala waligi bado hayupo?.Ligi ya uingereza haina mtawala msimu haujaisha hana hata kombe unaona kabeba kombe point zake ni mech tano mzunguko uliobak mech 19 msimu ulioisha kapigwa sasa nae anashinda kipi kipya?
Tulisema waona mbali.Sawa mkuu mjadala mwema lakini Pep atawasurubu mno maana kikosi chake ukimtoa Mangala wachezaji zaidi ya 16 wanaweza kuanza first 11 timu yeyote ile kwenye EPL kwamaana hiyo Pep atachukua ubingwa.Kuhusu kufungwa anaweza kufungwa na timu yeyote ile lkn sasa tambueni ubora wa Pep.
Vipi mkuu.Post ya limbuken wa mpira mwaka jana conte mbona hamkumfungulia thread aliposhinda mech 12 mfululizo? Tena kwa idad kubwa ya magoli 4 au 3
Na atawapaaaaa.City treble naona mwarabu kazi imebakia kwake kukamilisha ahadi ya pounds 2m kwa kila mchezaji.