Newcastle United 0-1 Manchester City: Pep hashikiki, afikisha mechi 20 bila kupoteza

Newcastle United 0-1 Manchester City: Pep hashikiki, afikisha mechi 20 bila kupoteza

unasemaje mkuu..umeona man city anavotepeta..j4 tena na ana majeruhi..had march atakua anagombea top 4 na arsenal..amtazame sana chelsea
Mkuu unaamini cty wataendelea kuflop? Binafsi matokeo ya leo siyahusishi na mechi iliyopita kwa style yoyote ile
 
Mkuu unaamini cty wataendelea kuflop? Binafsi matokeo ya leo siyahusishi na mechi iliyopita kwa style yoyote ile
ataflop na siyo kidogo..sifa zote za pundits akina Neville zitaishia hewani..tazama performance ya city..inajieleza
 
Nnapokuambia ligi ya uingereza bila usajili wa maana ulikuwa unakataa nn ndo mana nimekwambia kama anajua mwaka jana kabeba nini? Ligi bado ni ngumu
Sio usajili wa maana,ila usajiri wenye akili,pep ni kocha mzuri sana amini hilo
 
Tunapishana unaponiambia ligi nyepes majeruhi kila timu inao kushuka na kupanda kwa viwango vya wachezaji vipo timu zote


Nakuuuliza msimu ulioisha kwa nn alibamizwa? Ukisema uzee bado sio point hamna mchezaj wa city alikuwa na miaka 36 ligi ya uingereza ni ngumu alianza kwa mbwembwe za gar sijui left hand kauli zlilikata hizo had akakimbilia sokon
Tujikumbushe.
 
Ligi ya uingereza haina mtawala msimu haujaisha hana hata kombe unaona kabeba kombe point zake ni mech tano mzunguko uliobak mech 19 msimu ulioisha kapigwa sasa nae anashinda kipi kipya?
Mtawala waligi bado hayupo?.
 
Sawa mkuu mjadala mwema lakini Pep atawasurubu mno maana kikosi chake ukimtoa Mangala wachezaji zaidi ya 16 wanaweza kuanza first 11 timu yeyote ile kwenye EPL kwamaana hiyo Pep atachukua ubingwa.Kuhusu kufungwa anaweza kufungwa na timu yeyote ile lkn sasa tambueni ubora wa Pep.
Tulisema waona mbali.
 
City treble naona mwarabu kazi imebakia kwake kukamilisha ahadi ya pounds 2m kwa kila mchezaji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzi unafukuliwaa
 
Back
Top Bottom