Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Mpaka ninavyoandika kuna Mechi Kati ya Newcastle United na Fulham ikiwa ni dakika ya 77. Dakika ya 74 Fulham walipata penati baada ya VAR kuonyesha mchezaji wa Fulham alikwatuliwa akiwa ndani ya Penalt box. Fulham wakapewa penati Yao.
Wakati Mitrovic anapiga Ile penati kwa mguu wa kulia mpira ukamgonga mguu wa kushoto na kumpoteza kipa ukaingia wavuni.
Nasema somo linaendelea Kwa sababu baada ya goli la Man U laililokubaliwa Jana, Leo refa kakataa goli Hilo la Fulham na kuwapa Newcastle free kick kwa maelezo kuwa Ile ni double kick.
Kwangu shule ya sheria na kanuni za soka inaendelea bila ada.
Karibuni Wajuzi.