uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Kaishiwa mbinu vipi sasa? Kuna wakina Klopp huko utawaongeleaje hao?Kwa hapo alipoifikisha inatosha ameishiwa hana cha kuoffa tena
Kama unafuatilia mechi newcastle wanastaili moja ya uchezaji ni rahisi sana kuwazuia
Km maboss wa newcastle wanaitaka top four wamuondoe haraka eddie
Eddie ni kocha mzuri wa madaraja ya kati na Newcastle imeshakuwa kubwa kwake
Newcastle united walikuwa wapi kabla ya ujio wa eddie.
Katika mechi 15 zilizopita hawajapoteza mchezo wowote ule.
Wameruhusu goli 13 za kufungwa.
Hawajaruhusu goli mechi 12.
Wako nafasi ya 3 kwenye ligi.
Wapo nusu fainali kwenye michuano ya carabao.
Bado unasema kocha hafai ikiwa ndio kwanza huu ni msimu wake kamili wa kwanza.
Upo serious kweli?

Huenda anajua newcastle ni simba mkuu, fitina fitina fitina.kufungwa na kushinda ndo mpira wenyewe.Ilinangwa manchester weeeh imefufuka wanatafutwa wengineweNewcastle united walikuwa wapi kabla ya ujio wa eddie.
Katika mechi 15 zilizopita hawajapoteza mchezo wowote ule.
Wameruhusu goli 13 za kufungwa.
Hawajaruhusu goli mechi 12.
Wako nafasi ya 3 kwenye ligi.
Wapo nusu fainali kwenye michuano ya carabao.
Bado unasema kocha hafai ikiwa ndio kwanza huu ni msimu wake kamili wa kwanza.
Upo serious kweli?
Huenda anajua newcastle ni simba mkuu, fitina fitina fitina.kufungwa na kushinda ndo mpira wenyewe.Ilinangwa manchester weeeh imefufuka wanatafutwa wenginewe
Newcastle united walikuwa wapi kabla ya ujio wa eddie.
Katika mechi 15 zilizopita hawajapoteza mchezo wowote ule.
Wameruhusu goli 13 za kufungwa.
Hawajaruhusu goli mechi 12.
Wako nafasi ya 3 kwenye ligi.
Wapo nusu fainali kwenye michuano ya carabao.
Bado unasema kocha hafai ikiwa ndio kwanza huu ni msimu wake kamili wa kwanza.
Upo serious kweli?
Kaishiwa mbinu vipi sasa? Kuna wakina Klopp huko utawaongeleaje hao?
Au wamrudishe bigirimana,unasemaje mkuu??