Newcastle wasajili kocha mwingne haraka, Eddie Wood ameishiwa mbinu

Newcastle wasajili kocha mwingne haraka, Eddie Wood ameishiwa mbinu

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Kwa hapo alipoifikisha inatosha ameishiwa hana cha kuoffa tena.

Kama unafuatilia mechi Newcastle wanastaili moja ya uchezaji ni rahisi sana kuwazuia.

Kama maboss wa Newcastle wanaitaka top four wamuondoe haraka Eddie.

Eddie ni kocha mzuri wa madaraja ya kati na Newcastle imeshakuwa kubwa kwake.
 
Newcastle united walikuwa wapi kabla ya ujio wa eddie.

Katika mechi 15 zilizopita hawajapoteza mchezo wowote ule.

Wameruhusu goli 13 za kufungwa.
Hawajaruhusu goli mechi 12.
Wako nafasi ya 3 kwenye ligi.
Wapo nusu fainali kwenye michuano ya carabao.

Bado unasema kocha hafai ikiwa ndio kwanza huu ni msimu wake kamili wa kwanza.

Upo serious kweli?
 
Kwa hapo alipoifikisha inatosha ameishiwa hana cha kuoffa tena

Kama unafuatilia mechi newcastle wanastaili moja ya uchezaji ni rahisi sana kuwazuia

Km maboss wa newcastle wanaitaka top four wamuondoe haraka eddie

Eddie ni kocha mzuri wa madaraja ya kati na Newcastle imeshakuwa kubwa kwake
Kaishiwa mbinu vipi sasa? Kuna wakina Klopp huko utawaongeleaje hao?
 
Walikuwa wanakutana na timu za kawaida ukiangalia mechi alizoshinda ni wale kuna bounermoth, southampton, leicester, Everton ambazo zinachechemea
Newcastle united walikuwa wapi kabla ya ujio wa eddie.

Katika mechi 15 zilizopita hawajapoteza mchezo wowote ule.

Wameruhusu goli 13 za kufungwa.
Hawajaruhusu goli mechi 12.
Wako nafasi ya 3 kwenye ligi.
Wapo nusu fainali kwenye michuano ya carabao.

Bado unasema kocha hafai ikiwa ndio kwanza huu ni msimu wake kamili wa kwanza.

Upo serious kweli?
 
Kocha anatabirika yupo km arteta zikibanwa wa tayari wamechapwa
 
Siku nyingine uwe unafuatilia mechi sio kuangalia matokeo tu
Newcastle united walikuwa wapi kabla ya ujio wa eddie.

Katika mechi 15 zilizopita hawajapoteza mchezo wowote ule.

Wameruhusu goli 13 za kufungwa.
Hawajaruhusu goli mechi 12.
Wako nafasi ya 3 kwenye ligi.
Wapo nusu fainali kwenye michuano ya carabao.

Bado unasema kocha hafai ikiwa ndio kwanza huu ni msimu wake kamili wa kwanza.

Upo serious kweli?
 
Newcastle united walikuwa wapi kabla ya ujio wa eddie.

Katika mechi 15 zilizopita hawajapoteza mchezo wowote ule.

Wameruhusu goli 13 za kufungwa.
Hawajaruhusu goli mechi 12.
Wako nafasi ya 3 kwenye ligi.
Wapo nusu fainali kwenye michuano ya carabao.

Bado unasema kocha hafai ikiwa ndio kwanza huu ni msimu wake kamili wa kwanza.

Upo serious kweli?
Huenda anajua newcastle ni simba mkuu, fitina fitina fitina.kufungwa na kushinda ndo mpira wenyewe.Ilinangwa manchester weeeh imefufuka wanatafutwa wenginewe
 
Mkuu mimi sio tu naangalia mpira numeishi mpira

Unanichukua msimu mmoja tu kujua kocha ni mzuri au mbovu au wakawaida

Eddie ni kocha wa mid table team km Newcastle imeridhika na hilo daraja wamwache eddie lkn km wanataka kupiga hatua he must go
Newcastle united walikuwa wapi kabla ya ujio wa eddie.

Katika mechi 15 zilizopita hawajapoteza mchezo wowote ule.

Wameruhusu goli 13 za kufungwa.
Hawajaruhusu goli mechi 12.
Wako nafasi ya 3 kwenye ligi.
Wapo nusu fainali kwenye michuano ya carabao.

Bado unasema kocha hafai ikiwa ndio kwanza huu ni msimu wake kamili wa kwanza.

Upo serious kweli?
 
Ni kocha wa timu za madaraja ya kati newcastle imewekeza fedha nyingi sasa msimu wa tatu huu wakacheza cheza tu

Physicality peke yake haikufanyi ushinde nakuombea unahitaji mbinu

Kwa msimu team kubwa zinacheza zaidi ya mechi 50 km huna mbinu utaaibishwa tu
Kaishiwa mbinu vipi sasa? Kuna wakina Klopp huko utawaongeleaje hao?
 
Huyu kocha huwa ananikumbatia stoke City ilivyokuwa inacheza

Timu zinazoweka mpira chini! Mpira wa miguvu hauna nafasi lazima tuadhibiwe
Au wamrudishe bigirimana,unasemaje mkuu??
 
Back
Top Bottom