News about a Commando who gave Al-Shabab terrorists a hell of a time inside the Dusit hotel and kill them both

News about a Commando who gave Al-Shabab terrorists a hell of a time inside the Dusit hotel and kill them both

na nadhan hyo propaganda ya kudai tz inamkono wake hapo itakuwa imetoka idara nyeti kabisa huko baada ya kuona kuwa wao tayari wamepoteza kuaminika

kinachonishtua hiyo habari imeanzia south africa taifa ambalo kuna watz walipoteza life lao ili south iwe huru

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naomba nyama kwenye paragraph ya mwisho kama hutojali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazani sio kosa lake huo ndio uwezo wake wa kufikiri umeishia pale
hajui siku hizi kuna app ya google transaltor..mi nimeenda schiphol sijui hata kidutch na maisha yakawa yanaenda tu na app yangu ulimwengu tuliofikia sio wa kujisifia unajua lugha fulani labda pesa tu.....shida sana
 
Akija kusoma hapa naamini atajifunza kitu..
Alafu aelewe sio kila anayeomba tafsiri ya maneno kwamba hafahamu...wengi wanaomba kwa ajili ya watu wengine wasio fahamu
hajui siku hizi kuna app ya google transaltor..mi nimeenda schiphol sijui hata kidutch na maisha yakawa yanaenda tu na app yangu ulimwengu tuliofikia sio wa kujisifia unajua lugha fulani labda pesa tu.....shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningependa kujua huyu so named SAS personnel alifanya vitu gani siku ya tukio…

1.Alidungua magaidi?
2.Alikua analinda milango magaidi wasikimbie?
3.Alikua anaelekeza walio ndani ya jengo njia za kutokea kwenda nje?
 
We jamaa ni mpuuzi sana kwa logic yako kusoma Mpaka chuo kikuu ndio kujua kiingereza?!


Mpuuzi ni wewe hasa ambae umefanya ambae umetumia Kiingereza kusoma elimu yako kwa miaka yote 14 uliyokua shule.....

...Halafu leo mtu anakuandikia ubeti mdogo tu wa Kiingereza JF unaanza kulia hujui Kiingereza?!!

Nyie ni wa kuchapa makofi kabisa,pumbavu zenu mrudishe ada za wazazi wenu nyang'au nyie!

Mmeenda shule kusomea ujinga?

Vitabu vyote vya maarifa ulisomaje?

Kama vyote ulisoma vyote kwa Kiingereza,na ukafaulu masomo yako,eti leo ubeti wa JF wa Kiingereza unaanza kulalamika hujui Kiingereza?

Hivi mitoto mizembe na mayai kama nyie ndio mnazitia aibu shule za Tanzania!

Jitu zima linakaa na kuanza kutetea ugoigoi wa kutokujua kusoma Kiingereza uliyotumia kupata maarifa kwa miaka 14!

Ungekua mwanangu ningekata hayo matako kabisa,ada yangu ule,unatoka shule hujui kusoma Kiingereza,sijui maarifa ya vitabu unasomaje wewe mwehu?

Ungenirudishia ada yangu kupitia puani!

Sisi wazazi wako ambao hatukusoma,tuliokuelimisha kwa jasho,leo hujui kusoma,ningekumeza mzima mzima!

Punguani nyie!
 
Kumbe kuna raia wawili wa nje walioshiriki kwenye uokozi katika tukio hilo. Huyo wa SAS na yule mkufunzi wa mafunzo ya ulinzi aitwaye Inayat Kassam ambaye katika picha za hapo juu kavaa shati jeupe ambaye pia alishiriki kwenye uokozi kwenye tukio la ugaidi la Westgae Mall mwaka 2013.
Inabidi ahojiwe kwanini kila tukio anakua karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu unakuta wazazi wako waliuza ng'ombe na mashamba ili wewe usome mpaka chuo kikuuu,

Ili uje kuwasaidia wazazi wako na jamii inayokuzunguka !!!!

matokeo yake jamii ikikuomba msaada wako unaanza kutoka mapovu...!!!!

Hivi vitabu unavyovisoma vinakusaidia nini??

Kuna watu humu hawajui kiingereza lakini kijerumani wanakijua kama wamezaliwa huko!!!!

Kuzarau wenzako wasiojua lugha ya kingereza ni ushogarema zaidi ya yule shoga wa nchi jirani

Kama umesoma elimu yako Tanzania kwa mfumo wa NECTA halafu leo unasema hujui kusoma Kiingereza ,wewe ni wa kuua!

Hufai kabisa!

Kijerumani na blah blah blah zote hizo ni mavi matupu...

Ishu na hoja hapa ni kama umesoma TZ kwa mfumo wa elimu yetu,umefundishwa kusoma na kuandika Kiingereza kwa miaka yote 14

Halafu leo hujui kusoma,wewe ni wa kupeleka Segerea,ni pumbavu kabisa!
 
Mkuu, naomba nyama kwenye paragraph ya mwisho kama hutojali

Sent using Jamii Forums mobile app
harakati za ukombozi wa south zilikuwa zinapangiwa tz huku mwalimu akiwapa kila kitu kuanzia msosi ,mafunzo,silaha na mbinu japo palikuwa na support ya wajamaa sasa hyo habari ya kuwa tz inawapa support wavaa kobazi imetangazwa na muandishi wa TVT(tbc) ya huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanawaponda wa Kenya, lakini wanajijua wao wakoje? Nakumbuka sakata la MO eti RPC anakuja na picha ya kupiga kwa simu anasema ni CCTV! Sasa ndio yatokee haya ya Kenya? Ndio mtaona wale wavunja matofali ya kuchoma kichwani na fix zao
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Mkuu nakuomba usome tena upupu wako uliouandika hapa,naomba utulie usome tena tafadhari alafu ufikirie tena..

Lakini pia naomba nikupuuze sawasawa na wapuuzi wengine kama wewe...


Ahsante na kwaheri
Kama umesoma elimu yako Tanzania kwa mfumo wa NECTA halafu leo unasema hujui kusoma Kiingereza ,wewe ni wa kuua!

Hufai kabisa!

Kijerumani na blah blah blah zote hizo ni mavi matupu...

Ishu na hoja hapa ni kama umesoma TZ kwa mfumo wa elimu yetu,umefundishwa kusoma na kuandika Kiingereza kwa miaka yote 14

Halafu leo hujui kusoma,wewe ni wa kupeleka Segerea,ni pumbavu kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom