Mkuu, naomba nyama kwenye paragraph ya mwisho kama hutojalina nadhan hyo propaganda ya kudai tz inamkono wake hapo itakuwa imetoka idara nyeti kabisa huko baada ya kuona kuwa wao tayari wamepoteza kuaminika
kinachonishtua hiyo habari imeanzia south africa taifa ambalo kuna watz walipoteza life lao ili south iwe huru
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu jamaa anamambo ya kike sana ameona kujua kiingereza ndo kama kila kitu..shida sana
hajui siku hizi kuna app ya google transaltor..mi nimeenda schiphol sijui hata kidutch na maisha yakawa yanaenda tu na app yangu ulimwengu tuliofikia sio wa kujisifia unajua lugha fulani labda pesa tu.....shida sanaNazani sio kosa lake huo ndio uwezo wake wa kufikiri umeishia pale
hajui siku hizi kuna app ya google transaltor..mi nimeenda schiphol sijui hata kidutch na maisha yakawa yanaenda tu na app yangu ulimwengu tuliofikia sio wa kujisifia unajua lugha fulani labda pesa tu.....shida sana
Amewapa kichapo kikali na wakati mgumu magaidi waliovamia Reverside kenyaKwa kiswahili kwamba jamaa amefanyaje??
ha ha ha ha ha nimejikuta nacheka kwa sauti!Mwishowe wanagundua wavaa kobaz washasepa wao ndio wangeingia ndani,kuiba pombe na biscuit
We jamaa ni mpuuzi sana kwa logic yako kusoma Mpaka chuo kikuu ndio kujua kiingereza?!
wanavyo lkn havina uwezo wa kupambana na matukio kama hayoKwani hawana vikosi vya kupambana na magaidi mpaka waitwe SAS?
Inabidi ahojiwe kwanini kila tukio anakua karibuKumbe kuna raia wawili wa nje walioshiriki kwenye uokozi katika tukio hilo. Huyo wa SAS na yule mkufunzi wa mafunzo ya ulinzi aitwaye Inayat Kassam ambaye katika picha za hapo juu kavaa shati jeupe ambaye pia alishiriki kwenye uokozi kwenye tukio la ugaidi la Westgae Mall mwaka 2013.
alifanya vyote hivyoNingependa kujua huyu so named SAS personnel alifanya vitu gani siku ya tukio…
1.Alidungua magaidi?
2.Alikua analinda milango magaidi wasikimbie?
3.Alikua anaelekeza walio ndani ya jengo njia za kutokea kwenda nje?
Alafu unakuta wazazi wako waliuza ng'ombe na mashamba ili wewe usome mpaka chuo kikuuu,
Ili uje kuwasaidia wazazi wako na jamii inayokuzunguka !!!!
matokeo yake jamii ikikuomba msaada wako unaanza kutoka mapovu...!!!!
Hivi vitabu unavyovisoma vinakusaidia nini??
Kuna watu humu hawajui kiingereza lakini kijerumani wanakijua kama wamezaliwa huko!!!!
Kuzarau wenzako wasiojua lugha ya kingereza ni ushogarema zaidi ya yule shoga wa nchi jirani
harakati za ukombozi wa south zilikuwa zinapangiwa tz huku mwalimu akiwapa kila kitu kuanzia msosi ,mafunzo,silaha na mbinu japo palikuwa na support ya wajamaa sasa hyo habari ya kuwa tz inawapa support wavaa kobazi imetangazwa na muandishi wa TVT(tbc) ya huko
huyu jamaa anamambo ya kike sana ameona kujua kiingereza ndo kama kila kitu..shida sana
Kama umesoma elimu yako Tanzania kwa mfumo wa NECTA halafu leo unasema hujui kusoma Kiingereza ,wewe ni wa kuua!
Hufai kabisa!
Kijerumani na blah blah blah zote hizo ni mavi matupu...
Ishu na hoja hapa ni kama umesoma TZ kwa mfumo wa elimu yetu,umefundishwa kusoma na kuandika Kiingereza kwa miaka yote 14
Halafu leo hujui kusoma,wewe ni wa kupeleka Segerea,ni pumbavu kabisa!