News about a Commando who gave Al-Shabab terrorists a hell of a time inside the Dusit hotel and kill them both

Kama Malaika vile kutoka mbinguni!
 
Kuna gaidi kama tatu hivi zikifyatuliwa risasi kabla ya mabomu hayajalipuka duuu ukiona hizo picha utaamini masniper wapo
Ningependa kujua huyu so named SAS personnel alifanya vitu gani siku ya tukio…

1.Alidungua magaidi?
2.Alikua analinda milango magaidi wasikimbie?
3.Alikua anaelekeza walio ndani ya jengo njia za kutokea kwenda nje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilidhani kiongozi wa kitaifa katamka. Lakini kama ni hiyo SABC ni kawaida kama media

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daah!kutokujua kingereza kunanikosesha mengi jmn,hata sijaelewa kitu 😢😢😢
 
Adorable intarahamwe subsequently Proactive task force in Kenya!!!! Kama wewe unaelewa kiingereza ingekuwa vyema umsimange kwa kiingereza!!!!

Sina haja hiyo mkuu!

Ni ajabu sana mtu analalamika eti hajui kusoma!

Halafu anataka tumshabikie tumpe medali?

Yaani Tanzania tushafika level hizi za kushabikia ujinga kabisa?

Mtoto umepitia sekondari ya Tanzania hii,unakutana na ubeti wa Kiingereza halafu unalia hujui kusoma,hivi mtu wa namna hii tumfanyeje?

CCM ina madhambi yake,ila huu ni uzembe binafsi na mimi siwezi uona na kuuchekea tu!
 
huu unaofanya wewe ndio usenge wenyewe humu wapo mpaka darasa la saba muwe na hekima

Darasa la saba ni below 18 years old,huruhusiwi kuwa humu!

Hivi unasoma Terms and Conditions wakati unajiunga JF kweli?

Au na wewe ndio hujui kusoma Kiingereza?

Halafu mnataka tuwape medali kwa kutokujua kusoma na kuandika?

Imagine baba au mama yako aliekulipia ada anakuta eti unalalamika hujui kusoma!

Hivi sijui sisi ni kizazi gani!
 
Kwa mujibu wa kichwa cha habari mleta hoja unamaanisha magaidi waliokuwa ndani na kuuliwa walikuwa ni wawili tu?
 
Kwani komenti yake alivyouliza aliambatanisha na cheti chake cha chuo Mkuu? sio wote humu wamefika chuo, Type za kina king msukuma Tuwasaidie; Kiingereza siyo issue
 
daah!kutokujua kingereza kunanikosesha mengi jmn,hata sijaelewa kitu 😢😢😢

Jackline.....

Tuseme na wewe upo kwenye list ya watu wasiojua kusoma Kiingereza?

I remember,kipindi sisi tunasoma wazazi wetu walikua wanatupa gazeti la Daily News na Guardian usome kwa usahihi na kwa sauti!

Punctuations zote,proper diction,vituo,alama za kuuliza,etc kwa usahihi,ukikosea unachapwa...

Sasa sijui Jackline kama huu ubeti umekushinda,hivi unaweza soma gazeti mfano Daily News kweli?

Na kama huwezi,hivi lawama ni kwa nani hasa?

Halafu hivi ni sifa mtu kutokujua kusoma na anasema wazi kabisa bila haya?

Aisee,huyu Ndalichako ana kazi kabisa!

Hasa hasa nawaonea huruma wazazi wako,zaidi ni familia yako utakayojenga,watoto wako watakua wazembe namna hiii hii,

Na wewe kama mama yao utakenua mimeno,halafu mwisho wa siku tunalalamikia CCM!
 
Kwani komenti yake alivyouliza aliambatanisha na cheti chake cha chuo Mkuu? sio wote humu wamefika chuo, Type za kina king msukuma Tuwasaidie; Kiingereza siyo issue

Mkuu

Sio lazima chuo kikuu wewe mtu!

Umesoma primary kuanzia la tatu mpaka la saba kuna somo mahususi la Kiingereza!

Unaingia Form One unasoma kila kitu kwa Kiingereza kwa miaka 4,halafu leo hujui kusoma ubeti wa Kiingereza?

Hivi unaweza kusoma gazeti mfano Daily News kweli ukapata maarifa ya hii dunia?

Hivi huu upumbavu mnao celebrate namna hii mnataka mpewe medali kwa kutokujua kusoma?

Hivi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…