News about a Commando who gave Al-Shabab terrorists a hell of a time inside the Dusit hotel and kill them both

kati ya hao magaidi walioshambulia juzi wawili ni wakenya pia

point yao kubwa kuwa ni kwanini tz hana jeshi somalia

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule gaidi aliyejilipua hapo Dusit alikua Wanted huku Kenya na kulikua na machapisho kadhaa yakitangaza 1 Million reward kwa yeyote ambae anajua alipo, akakimbia Tanzania alafu baadae akaenda Somalia tena ndo akaingia Kenya kuja kufanya hili shambulizi.....

 
Mimi mwenyewe nimewashangaa sana hawa wenzetu wanavomuabudu mzungu. Yaani mzungu ameteka mawazo yao kupitia movie ambazo ni maigizo tu. Utadhani huyo jamaa mmoja ndiye aliyefanya operation yote akiwa pekee yake kutoka mwanzo hadi mwisho.
Hufai kuwajibu. Wanaongea kijinga. Nilidhani ni mtoto ndogo anazungumza. Eti SAS aliingia peke yake akawaua magaidi😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…