Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
basi na baadhi ya watz wanaona hivyo piaWakenya wenye asili ya Kisomali na baadhi ya Wamombasa wanaoamini Al-Shabaab iko katika harakati za kidini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi na baadhi ya watz wanaona hivyo piaWakenya wenye asili ya Kisomali na baadhi ya Wamombasa wanaoamini Al-Shabaab iko katika harakati za kidini.
Exactly, hivyo ndivyo ilivyo.
Yule gaidi aliyejilipua hapo Dusit alikua Wanted huku Kenya na kulikua na machapisho kadhaa yakitangaza 1 Million reward kwa yeyote ambae anajua alipo, akakimbia Tanzania alafu baadae akaenda Somalia tena ndo akaingia Kenya kuja kufanya hili shambulizi.....kati ya hao magaidi walioshambulia juzi wawili ni wakenya pia
point yao kubwa kuwa ni kwanini tz hana jeshi somalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hufai kuwajibu. Wanaongea kijinga. Nilidhani ni mtoto ndogo anazungumza. Eti SAS aliingia peke yake akawaua magaidi😂😂Mimi mwenyewe nimewashangaa sana hawa wenzetu wanavomuabudu mzungu. Yaani mzungu ameteka mawazo yao kupitia movie ambazo ni maigizo tu. Utadhani huyo jamaa mmoja ndiye aliyefanya operation yote akiwa pekee yake kutoka mwanzo hadi mwisho.