News: Ajira za waalimu 2013/2014

Nashukuru kwa matumaini mnayoendelea kutoa, chanzo cha hiyo taarifa yako ni kipi?

Huyu kidogo naweza kumwamini ingawa naye kabashiri, mm nazan ajira ni trh 13-14 FEBRUARY km hakutakuwa nambadiliko(wanatoaga wiki 2 za kujiandaa) mwakajana walitoa post trh 13FEBRUARY Kuripot trh 1-9 march
 
Huna lolote,mbinafsi mkubwa!

KUSEMA NIMEPATA TEMPO NDIO UBINAFSI MKUU? KWA TAARIFA YENU HAKUNA ANAYESUBIRI KWA HAMU HIZO AJIRA KAMA MIMI! TENA TANGU MWAKA JANA NILIPOST HAPA KUHUSU AJIRA, kama huamini angalia nyuzi zangu zilizopita..sory
 
walimu lugha za kuuz hazfai! Najua sawa mmechoka
 
hapo ndo uongo wenu leo ukamatwe leo ndi tarehe 26
 
ndugu walimu tuwe na subira kwan hazina ndogo za halimashauri hazijapokea pesa nchi nzima toka hazina kuu coz bajet ya 2013/2014 ilielekeza kuwa 7.2% ya mapato yatokanayo na kodi za line za simu zitaelekezwa wizara ya elimu lakn kwakuwa ilipingwa vikali hivyo ilivuruga malengo ya serikali kwa wizara ya elimu.
 

mmmmmmmmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…