RSR
Member
- Dec 9, 2013
- 88
- 2
kuripot tarehe 1 march_tamisemi
Ni kweli kabsa'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuripot tarehe 1 march_tamisemi
Nashukuru kwa matumaini mnayoendelea kutoa, chanzo cha hiyo taarifa yako ni kipi?
Wadau mtu wa 10 sasa aniambia kuwa ajira znatangazwa trh 26JANUARY, je kunaweza kukawa na ukwel wowote ule? 2juzane bac wadau plz....
Huna lolote,mbinafsi mkubwa!
hapo ndo uongo wenu leo ukamatwe leo ndi tarehe 26
ndugu walimu tuwe na subira kwan hazina ndogo za halimashauri hazijapokea pesa nchi nzima toka hazina kuu coz bajet ya 2013/2014 ilielekeza kuwa 7.2% ya mapato yatokanayo na kodi za line za simu zitaelekezwa wizara ya elimu lakn kwakuwa ilipingwa vikali hivyo ilivuruga malengo ya serikali kwa wizara ya elimu.
Mna nauli za kwenda kwenye vituo vya kazi?
unataka kutugawia??
Utamlipa?
nikipata pensheni !!
Hahaa atakua kashasahau uyo
Huogopii thuluma ni dhambi mkuu!itakuwa heri! Mana ntaokoka madeni!
itakuwa heri! Mana ntaokoka madeni!
Huogopii thuluma ni dhambi mkuu!