duh unataka kukopa manake uwe na madeni halafu ati utakuwa umeokoka madeni? we noma pia mkaree
aaah! Kwani mi wakwanza bana!
ajira next wiki aminini nawaambia
tarehe 26 ndio hii mkuu!
hapo ndo uongo wenu leo ukamatwe leo ndi tarehe 26
ndyo bwana
Hili suala lina raha yake, nauli ya kuendea kwenye kituo cha kazi ni mkopo, ukifika uchague ufadhiliwe na mkuu wa shule au ukope fedha za malazi na chakula, unalalaje utakulaje itajulikana, mshahara nasikia ni kama mia nne na kitu kwa watu wa degree, sijui diploma, sijui certificate-maisha haya.
Hapa nyumbani napo, kila siku unaulizwa " Ajira zenu bado?"
ujue nin nimecheck contact za waziri mpya mheshimiwa mhagama nimepata no zake nimemtext hazipatikani nimemtumia e-mail pia bado ujue inatupa shida sana tunashindwa kuongeza mkataba kuhofia
unafikiri tabu alizopitia kaka/dada/jomba wako lazma wote tupitie? think big bro! halafu hiyo 400 unafikiri ndogo kuna watu tunaendesha familia nakufanya maendeleo kama kawa.
mimi ni mojawapo ya mwalimu niliyeajiriwa mwaka jana,mshahara ni 589 take home ni laki 4 na 73 baada ya makato yote
Vp gharama za maisha, mshahara unakidhi mahitaji?
Nasikia mwezi wa 7 mshahara utapanda na gharama za maisha kupanda.
umemisi kula vumbi siyo!!