News: Ajira za waalimu 2013/2014

News: Ajira za waalimu 2013/2014

Hili suala lina raha yake, nauli ya kuendea kwenye kituo cha kazi ni mkopo, ukifika uchague ufadhiliwe na mkuu wa shule au ukope fedha za malazi na chakula, unalalaje utakulaje itajulikana, mshahara nasikia ni kama mia nne na kitu kwa watu wa degree, sijui diploma, sijui certificate-maisha haya.
Hapa nyumbani napo, kila siku unaulizwa " Ajira zenu bado?"
 
unafikiri tabu alizopitia kaka/dada/jomba wako lazma wote tupitie? think big bro! halafu hiyo 400 unafikiri ndogo kuna watu tunaendesha familia nakufanya maendeleo kama kawa.
 
mimi ni mojawapo ya mwalimu niliyeajiriwa mwaka jana,mshahara ni 589 take home ni laki 4 na 73 baada ya makato yote
 
nashukuru Mungu niliajiriwa mwaka jana lakini hatimaye narudi morogoro manispaa baada ya michakato ya uhamisho kutiki,ila tegemeeni kwanzia tarehe 13 mwezi wa 2
 
ujue nin nimecheck contact za waziri mpya mheshimiwa mhagama nimepata no zake nimemtext hazipatikani nimemtumia e-mail pia bado ujue inatupa shida sana tunashindwa kuongeza mkataba kuhofia

Waziri wako huyo? Wanafunz wako watakiona cha moto. C utawalisha matango poli?
 
unafikiri tabu alizopitia kaka/dada/jomba wako lazma wote tupitie? think big bro! halafu hiyo 400 unafikiri ndogo kuna watu tunaendesha familia nakufanya maendeleo kama kawa.

Hahahaaa, 400 unaendesha familia gani?
Mie nna extended family ndomana naona ndogo.
 
mimi ni mojawapo ya mwalimu niliyeajiriwa mwaka jana,mshahara ni 589 take home ni laki 4 na 73 baada ya makato yote

Vp gharama za maisha, mshahara unakidhi mahitaji?
Nasikia mwezi wa 7 mshahara utapanda na gharama za maisha kupanda.
 
Vp gharama za maisha, mshahara unakidhi mahitaji?
Nasikia mwezi wa 7 mshahara utapanda na gharama za maisha kupanda.

yaani hiyo hela inakidhi vigezo ukiwa vijijini ila mjini yaani bila kukopa ukajiendesha biashara yaani loo!!sijui labda kila mtu ana namna yake ya kujipanga
 
:kev::kev:mwaka huu watabiri watakuwa wengi mpaka basi,ili mradi kila mtu anasema la kwake.Ila mwisho wa siku wapo watakao cheka na pia wapo watakao nuna kwani nafasi ni chache na wanao tegemea kupata chance hizo ni wengi.Kwa wale wa degree msitegemee sana nafasi ni chache.samahani kama nitakuwa nimewakwaza.:A S 27: :A S 27: :tonguez:
 
Back
Top Bottom