News: Ajira za waalimu 2013/2014

News: Ajira za waalimu 2013/2014

ila na mm nmepata taarifa kwa teacher mkuu fulan, alikuwa anaenda kudai waalimu sehemu husika, wakamwambia wanaanza kurpot trh 15FEBRUARY
 
Watu wanaoleta MASIHARA KWENYE MADA HII NI WA KUPUUZWA TU! Watu hatuoneshi KUWA SERIOUS NA MAMBO, MTU ANAULIZA SWALI WAO WANALETA UJINGA UJINGA TU! Bailikeni!
 
Jaman waalimu 2juzen bac!, angalau ukwel 2mechoka wajameni.....@
 
unaweza kusubiri at the end of the day unakuta haujapamgiwa kituo imewatokea wengi tu
 
Ajira za walimu 2013/2014 zimeshapangwa kitambo (kwa maana ya vituo ya kazi) isipokuwa tu mipango ya mafungu kwaajili ya walimu wapya ndio bado.
 
but mbona tar 26 ni kesho jumapili! sasa...hadi naishiwa pozi ashukuriwe Mungu Nilipata Tempo Private Tangu Mwez Wa 8 Mwaka Jana...Hata Wakichelewa Poa Tu...Nimeshakinai Mwenzenu..:
 
but mbona tar 26 ni kesho jumapili! sasa...hadi naishiwa pozi ashukuriwe Mungu Nilipata Tempo Private Tangu Mwez Wa 8 Mwaka Jana...Hata Wakichelewa Poa Tu...Nimeshakinai Mwenzenu..:

punguza ubinafsi ndugu yangu, usidhani kila m2 anayechangia huu uzi hana biznez mtaani sometimes 2nawasemea hao wachache walokosa tempo na mitaji na wanasubir ajira za serikali kwa hamu... nafsi nzuri ni ile inayoumia kwa ajili ya watu wengne zaidi. MUNGU SAIDIA AJIRA ZIJE SOON!
 
but mbona tar 26 ni kesho jumapili! sasa...hadi naishiwa pozi ashukuriwe Mungu Nilipata Tempo Private Tangu Mwez Wa 8 Mwaka Jana...Hata Wakichelewa Poa Tu...Nimeshakinai Mwenzenu..:

Huna lolote,mbinafsi mkubwa!
 
Back
Top Bottom