News alert:another updates from heslb.

News alert:another updates from heslb.

wakisema second round hatupewi mkopo wakati wengine tupo chuoni toka jana sikutupa pressure jaman maana tumelipa robo but ada nyingine zitatoka wapi au ndo kuacha chuo
 
wakisema second round hatupewi mkopo wakati wengine tupo chuoni toka jana sikutupa pressure jaman maana tumelipa robo but ada nyingine zitatoka wapi au ndo kuacha chuo

mkuu usiamin kila linalo semwa hum jf.hasa hil jukwaa la elim.
huwa mvumiliv kama unacfa utapata tu.kwan masharti ya kupewa mkopo hayasemi kua second round hawatapata mkopo.
 
uwe first au second round, mkopo ni haki yako ya msingi, usidanganywe
 
Dah hapa perry haujafanya fresh mwanangu coz umewapa presha tu watoto wa watu wa wakulima ambao wamechaguliwa second round...mimi binafsi siamini kama ni kweli tusubiri tu mpaka mwisho itafaamika
 
ila kwa maoni yangu kutoa majibu ya waliopata mkopo sio kesho wala kesho kutwa sababu kuna wakina MUHAS walioongezewa muda wa maombi ya faculty ya enviromental health na dead line yao ndo kesho.
 
Sidhani kama watakosa wa 2nd round. Mtu kama atakuwa na sifa itabidi wampe hata kama utachelewa lakini atapata tu. Hapo mkuu Perry sikuungi mkono. Ngoja tuone.
 
Last edited by a moderator:
Sidhani kama watakosa wa 2nd round. Mtu kama atakuwa na sifa itabidi wampe hata kama utachelewa lakini atapata tu. Hapo mkuu Perry sikuungi mkono. Ngoja tuone.

hukubalian na mie,au hukubaliani na loan officer wa heslb?uliza wenzio wa last yr ka walipata.
 
Last edited by a moderator:
mh!ucwaumize moyo mwenzangu!kama hiyo ingekuwa kwel,TCU 1nd round selected students majina yao wangekua washayatuma HESLB na majibu yangeshatoka zamaan! sa hv tungekua tunasherehekea wengine wanalia,'ALL WILL BE TREATED EQUALLY' vigezo na mashart kuzingatiwa,inaezekana na wewe uandae ada mapema!pale wameandika 'priority' lakin sio 'MUST GET IT'
 
Jamani ivi vyuo vikuu si taasisi zinazojitegemea? kwa nini tuanze kuawekea taratibu za kufungua chuo na kuendesha mambo yao? kisa pesa! kwani bodi watahamua siku nyingine wapeleke pesa decemba na vyuo pia wakafungua muda huohuo.jamani HESLB mnahaibika sana mbona amhigi vyuo vya wenzetu uko nje? acheni vyuo wajiendeshe kulingana na prospectus zao. Mnaharibu elimu ya Tanzania,eti mliiga system ya AFRIKA KUSINI,na sasa naona mmeshafeli mapema sana kwa kupereka pesa zote chuo mara moja pindi wanafunzi wanapofungua vyuo
 
Another silly season with silly people!Nimeshangaa wanajamvi wengine hamchekechi habari hata chembe,mnaimeza ilivyo kama makinda ya ndege yanavyopokea chakula kwa mama yao.Hakuna kigezo kitakachotumika kuwanyima second round applicants mkopo kwasababu wana sifa sawa au kuzidi wale first round refer mwaka jana.Vilevile nina hakika hakuna mtu mwenye maslahi na Heslb yeye au ndugu yake angebahatika kukutana na officer wa huko aache kumuuliza lini watatoa taarifa.Inaonekana mtoa mada amepombeka kwa mnazi weekend hii na akakurupuka toka usingizi na mada hii
 
Kama wewe umechaguliwa kwenye chuo au program ambayo hukuichagua kabisa kwenye zile 8 ulizoomba,na vile vile kama umechaguliwa kwenye 2nd round of application no matter uwe unasoma program zenye priority or non priority,anza kuandaa ada yako mapema tu coz mkopo haukuhusu kabisa{kwa kifupi mkopo ni kwa watu waliochaguliwa kwenye 1st round of application kwenye moja ya zile program zao 8 walizoziomba}kwa maelezo zaidi,unaweza kunipata kwenye number 0688528887.asanten

Mmh!!! this is winter,let's wait for a coat. Nimekwisha.
 
si kila anayeenda chuo mwaka huu ni mdogo

Wadogo ZANGU ki elimu sijamanisha ukubwa wa manywele ya kwapa na huko chini anyway punguza stress dia ila kama kwenu hamna kitu na bodi imesema no loan tafadhari usiende ntakuambia sababu.
 
Back
Top Bottom