wakisema second round hatupewi mkopo wakati wengine tupo chuoni toka jana sikutupa pressure jaman maana tumelipa robo but ada nyingine zitatoka wapi au ndo kuacha chuo
Sidhani kama watakosa wa 2nd round. Mtu kama atakuwa na sifa itabidi wampe hata kama utachelewa lakini atapata tu. Hapo mkuu Perry sikuungi mkono. Ngoja tuone.
Wadogo zangu nawaonea huruma sijui niseme nin?
Wadogo zangu nawaonea huruma sijui niseme nin?
Kama wewe umechaguliwa kwenye chuo au program ambayo hukuichagua kabisa kwenye zile 8 ulizoomba,na vile vile kama umechaguliwa kwenye 2nd round of application no matter uwe unasoma program zenye priority or non priority,anza kuandaa ada yako mapema tu coz mkopo haukuhusu kabisa{kwa kifupi mkopo ni kwa watu waliochaguliwa kwenye 1st round of application kwenye moja ya zile program zao 8 walizoziomba}kwa maelezo zaidi,unaweza kunipata kwenye number 0688528887.asanten
si kila anayeenda chuo mwaka huu ni mdogo