News Alert: Dr. Maua na wazalendo wafanya kweli tena!


Laiti hata asilimia 30 ya wateule wangekuwa kama yeye, tungepiga hatua....
 
Havina ubaya....
Cheki hapo mbele jinsi vilivyochongoka....

Kuna tatizo gani kuchongoka?
Yaani unashindwa kuangalia kitu muhimu kilichokuwa kinafanyika hapo wee unakalia kuangalia mavazi. Utasema sana lakini hiyo haitasababisha misaada kutokuendelea kutolewa. Big up TPN, Jamiiforums, Mwanakijiji, Michuzi na Watanzania wengine mlioguswa na matatizo ya wenzetu.
 
Bado tunasafari ndefu.. we are about to make a great leap. Siku moja tunaweza kujikuta kuhitaji msaada wa Red Cross. Sasa tuwasaidie mapema kabla hatujajiuliza "wako wapi"?
 
Wana JF naomba kujuwa kwa wale tulio nje ya nchi(Tanzania) michango(misaada)yetu tuipitishie wapi.
 
Mkandya angalia hiyo posti kwenye sticky threads hapo kuhusu updates za michango.
 
Ndio nimepata message yako Sanctus kwenye skype.. sorry abt that
 

Ulikuwa ni utani tu. Sasa kama unaona nimekosea basi niwieni radhi.
 
Bado tunasafari ndefu.. we are about to make a great leap. Siku moja tunaweza kujikuta kuhitaji msaada wa Red Cross. Sasa tuwasaidie mapema kabla hatujajiuliza "wako wapi"?

Mkuu Mwanakijiji nadhani hili suala la Kuchangia Red Cross lingekuwa Endelevu especially kwa Nchi kama yetu ifikie mahala Red Cross iwe na Uwezo wa kutoa msaada wa Kiutu On time, na hili litawezekana tu kama watakuwa na Fund ambayo iko tayari katika account yao
 





tunashukuru walau imefika.
 

ndege ya uchumi.. that is what I want on my part to do. lakini Red Cross siyo shirika la biashara ni lazima wapewe uwezo fulani. Na karibu sehemu zote duniani hutegemea michango ya watu, taasisi na vyanzo mbalimbali. Au unafikiria mkuu akaunti yao itatoa pesa wapi? Kwangu idea ya kutegemea wajomba zetu inanitisha sana siku moja.

Ningekuwa na uwezo ningeifanya Red Cross kuwa a parliamentary chartered entity na kila mwaka or so inapewa uwezo funding ya mambo ya maafa (say, 5 billion TS) kwa kuanzia na kupewa unhindered access to relief resources. Tutafika tu; kuna kitu tunakifikiria kukifanya kikiiva nina uhakika kitafanya juhudi zetu hizi kuwa endelevu zaidi.
 

My full support. A private motion to our parliament can do.
 
Mwanakijiji,
Red Cross hii ya Adam Kimbisa?
 

Asante sana Mkuu kwa taarifa lakini hasa kwa kufafanua kuhusu Dk Maua Daftari kwamba ni mlezi wa TPN..niliposoma taarifa toka kwa Mwanakijiji I was asking myself why her yeye ni nani kwenye hii harambee mpaka yeye ndo akabidhi hiyo michango but nilivyosoma kwenye post yako chini ya Mwanakijiji nikapata jibu la swali langu.
 

GS tuko pamoja.

Ukipenda unaweza kuwa Mwanachama wa TPN. Karibu sana.
 
GS tuko pamoja.

Ukipenda unaweza kuwa Mwanachama wa TPN. Karibu sana.

Mimi ni mwanachama wa TPN but mwanachama mfu...nasubiri mpaka niwe na umri kama wako ndo nitakuwa active...teh teh teh..nipo kwenye mailing list yenu na huwa napata updated several times
 
Mimi ni mwanachama wa TPN but mwanachama mfu...nasubiri mpaka niwe na umri kama wako ndo nitakuwa active...teh teh teh..nipo kwenye mailing list yenu na huwa napata updated several times

Haaa haaa, OK GS; I am proud to see you at JF ingawa inasikitisha kuwa ni mwanachama mfu.

Nimeona GS ni Mgombea Mbunge Mtarajiwa. Tunakutakia kila la heri.
 
Mimi ni mwanachama wa TPN but mwanachama mfu...nasubiri mpaka niwe na umri kama wako ndo nitakuwa active...teh teh teh..nipo kwenye mailing list yenu na huwa napata updated several times


mshikaji wangu umeniangusha hapa!!
 
.......Mbarikiwe na Bwana kwa hii kazi.
 
niseme nini miye; ninawashukuru kwa moyo wa dhati wote mliojitolea na mnaoendelea kujitolea. Unajua misaada inahitajika zaidi baada ya kamera na waandishi kuondoka kama tunavyoona kule Haiti. Linapotokea janga watu wanashtuka mara moja na kukimbia kusaidia lakini baada ya muda emotionally watu hawawezi kuendelea kuwa katika "high" for too long.

Matokeo yake ndio watu wanaanza kuzembea na kuchoka, na watu wengine hupoteza maisha baada ya janga lenyewe kutokana na matatizo yanayokuja baadaye. Hii ndiyo sababu ya kufanya kampeni hii kuwa more sustainable badala ya haraka ya wiki moja halafu tunajiondokezea.

Kama mambo yanaenda vizuri tunatarajia kufanya angalau awamu nyingine mbili au tatu hadi ifikapo mwisho wa harambee hii.

Matarajio yangu tutafikia Tsh milioni 300 hivi hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…