News alert; mabilionea wa jf chitchat

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
4,401
Reaction score
2,341
JF billionaires,ni listi iliyoandaliwa na kufanyiwa tathmini na kampuni ya JF FORBES.Kati ya wana JF waliopo ambao 139,790,matajiri 20 wanamiliki asilimia 90% ya utajiri wa JF wenye zaidi ya thamani ya shillingi millioni 2,na Watu wengine waliobaki wanamiliki asilimia 10% ya utajiri wa JF.Kwa mara nyingine tena,utajiri wa mabilionea wa JF umeongezeka kwa asilimia 60% na hii imetokana na ongezeko la matajiri wapya walioingia.pia tumeshuhudia matajiri watano waliofilisika na kutoka ktk listi ya mabilionea hii ni kutokana na kuachana na wake zao hivyo kugawana utajiri.Jukwaa la Chit Chat limeongoza kwa kutoa mabilionea 14 likifuatiwa na jukwaa laMMU mabilionea 2,jukwaa la SIASA mabilionea 2.Kwa mara nyingine tena billionea Bishanga amezidi kuendelea kushika nafasi ya kwanza kwa utajiri na pia kati ya matajiri ambaye utajiri wake umeongezeka kwa muda mfupi kwa zaidi ya shillingi 300,000.hii inatokana na gazeti lake ka JF udaku kuuza zaidi nyakati za misiba ya wasanii na talaka za masupastaa Baba V utajiri wake umepungua baada ya kukumbwa na misukosuko ya kutaka kupinduliwa na maandamano ya kumtaka ajiuzuru, Bujibuji ametoka katika orodha baada ya pembe zake za ndovu kuzuiwa nchini china na nchini Kenya na mfanyabiashara mwenzake kunyongwa,


Name; Bishanga
wealth;610,000/-tshs
source;JF udaku/shareholder Chitchat restaurant
marital;marriage restored The secretary
age;85
position;1


name; Invisible
wealth;
332000/-tshs
source; JF,ban
age;20
position;2


name; @Watu8

wealth; 250000/ tshs
source;jf marketing

marital status; married with one daughter charminglady sweetlady , WiseLady
age;48
position;3


name; @chimbuvu

wealth;tshs 140000/-
source; malipo mkopo,jf forbes
age;22
position;4


name; madame B
wealth;100,000/-tshs
source;msuto.com,shareholder 50% wa Ruttashobolwa law film ambapo alipewa na mahakama baada ya talaka na 59% ya utajiri wa Arushaone katika talaka
marital;married to Chimbuvu
age;25
position;5


name; @Lara 1
wealth;100,000/-tshs
source:
entre consultancy film
marital; single
age;28
position;6



name; Arushaone
wealth;93,000/-tshs
source;president chitchat
age;35
position;7



name; Ben Saanane
wealth;90,000/-tshs
source; mabilioni ama chenchi za uswisi na rada
marital status; married to Juliana Shonza
age;33
position;8


name; manoah
wealth;85,000/-tshs
source; manoah engineering,consultant wa treni ya mwakyembe
marital status;SINGLE
age;30
position;9


name: Mtambuzi
wealth;60,000/-tshs
source; utunzi wa vitabu vya hadithi na sura za watu na tabia zao,.na ameanzisha brand mpya inaitwa "Shikamoo mzee Mtambuzi"
age;75
position;10





name; Baba V
wealth;60,000tshs
source; jf mahusiano,pembe za ndovu
age;76
position;11




name; charminglady
wealth;55,000tshs
source; miss Chitchat contest
age;24
position;12

 
Huyo Bishanga kwa taarifa yako hana hata sh. kumi nyeupe, kahonga pesa zote kwa mtu wa protokali ili amkutanishe na Sasha Obama kaambulia patupu.

sosi: Kwa hisani ya watu wa Marekani..
 
Last edited by a moderator:
Ben Saanane married to Juliana Shonza...ha ha ha ha couple nzuri sana hii
 
hii tulichkua mwisho tarehe 30/6/2013


Huyo Bishanga kwa taarifa yako hana hata sh. kumi nyeupe, kahonga pesa zote kwa mtu wa protokali ili amkutanishe na Sasha Obama kaambulia patupu.

sosi: Kwa hisani ya watu wa Marekani..
 
Duh...mimi simo!!!!
There is no easy walk to freedom anywhere, and many of us will have to pass through the valley of the shadow of death again and again before we reach the mountaintop of our desires
 
Safi tu Mr Rocky...nashangaa waazilishi wa hili jukwaa,,,tuliokuwa na hisa nyingi hapo zamani sasa hivi tumetupwa nje!

hahahaha wanasiasa ni wawili sasa jaribu kuangalia namba 13 hadi 20
 
Hahahaaaaa cna usemi hasa hapo kwa saanane na shonza! For God'z sake! What a pair....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…