Hapa ujanja kula tu....ubilionea baadaye
Hapana Lady doctor I want to live happily
poa endelea kumfanyia kazi tumbo!
nimesikia ni gari la mkopo lile ama?
Siwekagi hela benki wewe....bank ela yako inafika sh 9000?
HEEEE HI KITU MMEIVUMBUA WAPI MAANA NI YA SIKU NYINGI SANA HAPA DUUUUHuyo Bishanga kwa taarifa yako hana hata sh. kumi nyeupe, kahonga pesa zote kwa mtu wa protokali ili amkutanishe na Sasha Obama kaambulia patupu.
sosi: Kwa hisani ya watu wa Marekani..
HUJANIWEKA MAANA MM NAMILIKI B.700,000,000,0000 ZA KUTOSHA HAHAAAAAAleta vyeti vyako hapa