News alert magaidi ya Hamas wakubali kuachia huru mateka 22 walio hai, 12 waliofariki, Israel yagoma inataka mateka 34 walio hai ndiyo waachiwe

Sasa hao maiti si wameuliwa na mazayuni wenyewe? Kwanin wawakatae?
 
Acha wafutwe wao sasa. Kobaz kama kobaz
Pampas wew ndio unajiona fahari Sana kuvaa pampasi kuliko kobazi? Nilishangaa Sana wanajeshi wa Israel kuomba pampas walipo tembelewa na netanyau badala ya kuomba awatoe Huko Gaza
 
technically hii inaitwa high pressing ya klopp & guardiola at once.
 
Pampas wew ndio unajiona fahari Sana kuvaa pampasi kuliko kobazi? Nilishangaa Sana wanajeshi wa Israel kuomba pampas walipo tembelewa na netanyau badala ya kuomba awatoe Huko Gaza
Pampas kama kobaz mnaosha miku...
 
Hakuna Myahudi anayetambia Yesu Kristo ni BWANA na Masihi aliyekuja.
Bado hilo hawafunuliwa.
Hiyo siyo shida, kwao muhimu ni usalama wa watu wao. Hata ungekuwa wewe kamwe huwezi kuruhusu kuwa na jirani ambaye tangu kizazi cha babu wa babu yake wameandikiwa kukuangamiza.
Swala hili halikuwa la dini, lilikuwa swala la ardhi,wadini wakaliteka kuwa la dini, shida ipo hapo.
 
Nina shaka hao ndio mateka walio bakia nao😇😇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…