pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Hao mateka bila hawapo Gaza. IDF wameshafumua kila sehemu, hospitali zote kubwa lakini wapi. Ukizingatia Gaza ni kamji kadogo tu.Hivyo IDF wameshindwa kuwapata mateka ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao mateka bila hawapo Gaza. IDF wameshafumua kila sehemu, hospitali zote kubwa lakini wapi. Ukizingatia Gaza ni kamji kadogo tu.Hivyo IDF wameshindwa kuwapata mateka ?
Uhuru wa kuifuta Israel katika uso wa dunia!Uhuru wa nn..?
They have full control of Lebanon and Syria. Ayatollah akajipange upya else hata Iraq itaanguka.jamaa washachukua Syria waliobakia kazi wanayo
Sasa kama walikuwa wanajua wataachia kwanini wameleta mateso yote haya kwa raia?
Acha wafutwe wao sasa. Kobaz kama kobazUhuru wa kuifuta Israel katika uso wa dunia!
sahihiThey have full control of Lebanon and Syria. Ayatollah akajipange upya else hata Iraq itaanguka.
Pampas wew ndio unajiona fahari Sana kuvaa pampasi kuliko kobazi? Nilishangaa Sana wanajeshi wa Israel kuomba pampas walipo tembelewa na netanyau badala ya kuomba awatoe Huko GazaAcha wafutwe wao sasa. Kobaz kama kobaz
Pampas kama kobaz mnaosha miku...Pampas wew ndio unajiona fahari Sana kuvaa pampasi kuliko kobazi? Nilishangaa Sana wanajeshi wa Israel kuomba pampas walipo tembelewa na netanyau badala ya kuomba awatoe Huko Gaza
Hiyo siyo shida, kwao muhimu ni usalama wa watu wao. Hata ungekuwa wewe kamwe huwezi kuruhusu kuwa na jirani ambaye tangu kizazi cha babu wa babu yake wameandikiwa kukuangamiza.Hakuna Myahudi anayetambia Yesu Kristo ni BWANA na Masihi aliyekuja.
Bado hilo hawafunuliwa.
Nina shaka hao ndio mateka walio bakia nao😇😇Wadau hamjamboni nyote?
Israel yasema inataka mateka 34 walio hai ndiyo waachiwe huru
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo?
Hamas said willing to free only 22 of 34 living hostages demanded by Israel in deal
By ToI Staff and Jacob Magid Follow
Today, 10:26 am
Palestinian terror group Hamas has partially rejected a list of hostages that Israel insists must be released in the first phase of any ceasefire deal, according to a Monday report.
Kan news, citing an unnamed Palestinian source, said Hamas is willing to release 22 of the 34 hostages on the list, but is refusing to agree to the release of the other 12. Instead, the report stated, the group offered to release 22 living hostages and 12 bodies during the first phase of a potential deal.
Israel turned down the notion and made it clear that it would only accept living hostages during the initial stage of a deal, the report added.
The report did not provide further details on the hostages Hamas is reportedly refusing to release. Earlier this month, Egypt’s Al-Ghad outlet reported that Israel requested that 11 men considered by Hamas to be soldiers be included on the list of hostages to be released in the first phase of a potential deal.
The terror group classifies all Israeli men of fighting age to be soldiers.
Another stumbling block reported by Hebrew media is Hamas’s insistence that a proposed deal include the terms for an end to the war. The terror group was reportedly balking at recent remarks by Prime Minister Benjamin Netanyahu that Israel would resume fighting after the captives have been released.
Ingekuwa wanajeshi wa hamas wapo Uyahudini wanatamba tungeamini hamas ni wababe!Ni ubabe kwa ubabe tu.