News Alert: Marato kulijibu Jukwaa la Wahariri

Inasemekana TBC1 wanataka kumchukua/kumtumia kama ripota wao pia!

Yangu macho na masikio!!!!! Hapa kuna mpango mkubwa sana or a well planned technique. Naweza kuangalia mbali!!!! Siasa ni mbaya sana wakati mwingine!!! Tujihadhari kutumiwa!!!!! Na mbaya zaidi usichanganye siasa na biashara!!!! Wapo a few wanaweza kubeba vyote but hawezi kuwa fine or at per vyote so anatumia the other side kufanikisha the priority kama afanyavyo RA!!!! RA is a businessman, he uses politics to strengthen his businesses, nothing else!!!!

Marato atachukuliwa na News media wengine!!!! Hapo juu kuna aliyesema hajasoma!!! But he knows reporting!!!!! Bisha!!!!! Wadau wengine watamchukua. Tena nina wasiwasi kuna ambao watakuwa wameshamwa aproach!!!!!

Anyway, sina ujuzi sana na hili ila na mimi nasubiri mwisho wake. Tusubiri aongee leo!!!!
 
Ninavyomfahamu Marato hana hata elimu ya sekondari. Kumtumia/kutumika kwa maslahi ya mtu/watu/kikundi cha watu ilikuwa ni kazi rahisi tu.

ni rahis kumdharau mtu kotokana na kutokuwa na elimu, ila WildCard kumbuka kuwa maadili hayaletwi na elimu!
 
...nani mwenye background japo fupi ya marato?
 
Ka "nzi" ambako hakajapata usingizi siku ya nne sasa kamedokeza kuwa Bw. Marato ambaye anafadhiliwa na kundi la wanasiasa kadhaa wakiongozwa na Mbunge mmoja wa kanda ya kati ambaye ni mmiliki wa vyombo vya habari ataitishia mkutano huo ili kujibu jukwaa hilo,

(stay tuned)....

Haka ka nzi badala yakupoteza usingizi siku nne ili kutuletea habari kama hiyo (bold) ambayo kwangu mimi naona kama ni majungu yasio na ushahidi wowote, basi kangetumia muda huo kutupa CV ya George Marato.

Siyo interest yangu kujua Marato anafadhiliwa na nani na kivipi na kwa mpango gani...ni kama nisivyojua nani anafadhili makala za watu ........kwenye TD.
 
Inaelekea mwanakijiji akiacha kupost, kuna watu watakosa cha kusema humu ndani
 
Yangu macho na masikio!!!!! Hapa kuna mpango mkubwa sana or a well planned technique. Naweza kuangalia mbali!!!! Siasa ni mbaya sana wakati mwingine!!! Tujihadhari kutumiwa!!!!! Na mbaya zaidi usichanganye siasa na biashara!!!! Wapo a few wanaweza kubeba vyote but hawezi kuwa fine or at per vyote so anatumia the other side kufanikisha the priority kama afanyavyo RA!!!! RA is a businessman, he uses politics to strengthen his businesses, nothing else!!!!

Marato atachukuliwa na News media wengine!!!! Hapo juu kuna aliyesema hajasoma!!! But he knows reporting!!!!! Bisha!!!!! Wadau wengine watamchukua. Tena nina wasiwasi kuna ambao watakuwa wameshamwa aproach!!!!!

Anyway, sina ujuzi sana na hili ila na mimi nasubiri mwisho wake. Tusubiri aongee leo!!!!

Maratu kwa taarifa za uhakika ambazo nimezipata, leo ambazo zimethibitishwa na yeye mwenyewe, TBC wanamchukua kama mwakilishi wao katika mkoa wa Mara na tayari aliyekuwa mwakilishi wa TBC Mara Bw. Msangi ameitwa Dar kwa ajili ya kufahamishwa kituo chake cha kipya cha kazi.

Ni kweli Maratu nyuma yake anakundi la wanasiasa wanaomfadhili, mmoja wapo akiwa ni Mkono. RA na hata EL.

TBC ameombewa na wanasiasa hao kwa ushahiwishi wao mkubwa serikalini kwa vile kutia chumvu kinyume na maadili yake ya kazi katika Story yake ile ya maziko kulitokana na kutumiwa na Kambi hiyo ya Mafisadi kuilipizia kisasi Chadema baada ya kutoa ile orodha ya Mafisadi pale Mwembe Yanga.

Binafsi kesho nitakuwa naye katika Semina moja mjini Mwanza kama nitabahatika kupata ushirikiano nae nitamuuliza kinaganga ili hapa JF tupate ukweli.
 
Powa Mongoiwe tumekupata.
Tunaomba ushirikiano wako wa kutu update zaidi na zaidi utakapo kuwa nae hapo.
 
Ninavyomfahamu Marato hana hata elimu ya sekondari. Kumtumia/kutumika kwa maslahi ya mtu/watu/kikundi cha watu ilikuwa ni kazi rahisi tu.

Hivi yule wa ITV aliyeleta habari za mtikila ni nani? kwa kweli nahitaji kumfahamu na pia nahitaji kufahamu ufadhili wake.Aisee mwenye uwezo wa kufanikisha hilo anisadie.
 
Maratu kwa taarifa za uhakika ambazo nimezipata, leo ambazo zimethibitishwa na yeye mwenyewe, TBC wanamchukua kama mwakilishi wao katika mkoa wa Mara na tayari aliyekuwa mwakilishi wa TBC Mara Bw. Msangi ameitwa Dar kwa ajili ya kufahamishwa kituo chake cha kipya cha kazi.

Ni kweli Maratu nyuma yake anakundi la wanasiasa wanaomfadhili, mmoja wapo akiwa ni Mkono. RA na hata EL.

TBC ameombewa na wanasiasa hao kwa ushahiwishi wao mkubwa serikalini kwa vile kutia chumvu kinyume na maadili yake ya kazi katika Story yake ile ya maziko kulitokana na kutumiwa na Kambi hiyo ya Mafisadi kuilipizia kisasi Chadema baada ya kutoa ile orodha ya Mafisadi pale Mwembe Yanga.

Binafsi kesho nitakuwa naye katika Semina moja mjini Mwanza kama nitabahatika kupata ushirikiano nae nitamuuliza kinaganga ili hapa JF tupate ukweli.

Hi hawa TBC kazi ni kuokoteza vimeo vya IPP Media? au nao ni wafadhili wa kuua wapinzani wao katika fani ya habari. Tumeona ZeComedy nao wameleta zengwe EATV wamekimbilia TBC, sasa na huyu mwingine Marato kakimbilia huko huko TBC. inakuwaje hapa sasa?
Au sifa ya kuajiriwa TBC lazima uwe umefukuzwa kutoka chombo kingine cha habari? siku ya siku hawa hawa ndo wataibomoa TBC
 
Back
Top Bottom