Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #61
Hasira! hasira kali za Mkulu! Haki ungewamata wangekutambua. Punguza hasira mkulu, vita hii bado mbichi! Tuendelee kupigana kwa ncha za vidole vyetu hadi mwisho wa dahari, na Mungu awe kinga yetu kwenye vita hii.
...Ni ukereketwa wa kutembelea mahabusu au kuna kitu kinaendelea na hao akina Mramba?Jamani labda kaenda kuangelia tuu hali ilivyo.. It gives a wrong image kwa yeye kama waziri coz its not exactly fair kwa watuhumiwa wengine waliopo rumande lakini....... Sio big deal
tatizo mnafikiri Wakili hakujua anachofanya!!! Lazima Mramba ahudhurie harusi ya mwanae.. shangilieni mazingaombwe yanayofanana na ukweli. HIvi kwani hii ni mara ya kwanza kwa mtu aliyewahi kuwa waziri kufikishwa mahakamani? HIvi hii ni mara ya kwanza kwa mtu "kigogo" kusimama kizimbani?
Angalieni rekodi za kesi za huko nyuma!
Nadhani intelligence yetu imeshindwa kuunganisha habari mbili muhimu sana ambazo kwangu zilikuwa very weird..
Ufalme ukigawanyika hauwezi kusimama!
tatizo mnafikiri Wakili hakujua anachofanya!!! Lazima Mramba ahudhurie harusi ya mwanae.. shangilieni mazingaombwe yanayofanana na ukweli. HIvi kwani hii ni mara ya kwanza kwa mtu aliyewahi kuwa waziri kufikishwa mahakamani? HIvi hii ni mara ya kwanza kwa mtu "kigogo" kusimama kizimbani?
Angalieni rekodi za kesi za huko nyuma!
Sijakuelewa
huyu hakimu ni kweli hAWATENDEI HAKI WATUHUMIWA, UNAWEZA KUTUHUMIWA LAKINI IKAGUNDULIKA BAADAYE HUHUSIKA, WEWE NA MIMI HATUJUI KAMA AKINA MRAMBA NA WENGINE WANA MAKOSA,MAADILI GANI MNAYOYAZUNGUMZIA HAPA? MASHA HATA JUZI ALIKWENDA PALE KISUTU NA ALISALIMIANA NAO PUBLICLY.
UWAZIRI WAKE HAMFUNGI KUONGEA AU KUMTEMBELEA MTUHUMIWA PALE ANAPOSHIKILIWA NA VYOMBO VYA SHERIA.
KAMA NI DHAMANA, NI KWELI HAKIMU MWANKENJA(MTUMISHI WA MUNGU/mlokole) HAKUFANYA MAAMUZI KWA KUZINGATIA SHERIA ZINAZOMUONGOZA NA MBAYA ZAIDI ALIJIKUTA AMESUKUMWA NA UTASHI WAKE KAMA MWANANCHI NA SI MTAFSIRI WA SHERIA.
KIPENGERE ALICHOTUMIA KINARUHUSU NJIA MBADALA KTK DHAMANA LAKINI YEYE AKASISITIZA CASH, LAKINI HATA KTK REASONING YA KIJANA WA KIDATO CHA NNE TU ANGEWEZA KUTAMBUA SHARTI LA KUMZUIA MRAMBA ASITOKE DAR ES SALAAM HALIKUWA LINA MAANA NA SI HAKI KWANI YULE BADO NI MBUNGE HIVYO LICHA KUSHITAKIWA MBELE YAKE BADO ANALO JUKUMU LA KUWATUMIKIA WANA ROMBO NA BUNGE LA TANZANIA.
HATUMLAUMU HAKIMU KWA UPUNGUFU HUU ULIOJITOKEZA ILA NI FUNZO KWA WENGINE KUWA KABLA HUJAFANYA MAAMUZI YOYOTE YANAYOMUHUSU BINADAMU MWENZAKO NI VEMA UKATAFAKARI NA KUJIRIDHISHA KABLA HUJAJITOKEZA HADHARANI NA KUAMUSHA MORI KWA UMMA HALAFU BAADAYE ALIYE JUU YAKO ANATENGUA MAAMUZI YAKO NA KUIFANYA TAASISI KAMA MAHAKAMA IDHARAULIKE HUSUSANI KTK MASHAURI YENYE MASLAHI YA MOJA KWA MOJA NA WANANCHI.
NARUDIA TENA MASHA YUKO SAHIHI KAMA MTANZANIA, KIONGOZI NA MWANASHERIA.
...........AMESAHAU KUWA HUENDA WALIOLETWA KWAKE NI KIINI MACHO TU, NA KUWA KUNA WENGI ZAIDI WAMEFICHWA, WACHACHE WAMETOLEWA KAFARA
Nadhani intelligence yetu imeshindwa kuunganisha habari mbili muhimu sana ambazo kwangu zilikuwa very weird..
Ufalme ukigawanyika hauwezi kusimama!
Habari za ndani kabisa ni kuwa Masha hakwenda Keko hizi ni rumors ambazo hazina msingi wowote.
Tuwe waangalifu.
Kuna moja ya thread hapa nilichangia na kuwataadhalisha watanzania kuwa tuwe wajanja na changa la macho. Masha kuwatembelea hawa mafisadi tena nje ya ratiba yake ya kiofisi inaleta UTATA tena si kidogo.
SISIEMU wanajua wana uchaguzi, sasa kupeleka hawa fisadiz mahakamani isije ikawa ni changa la macho. Uchaguzi ukiisha basi na kesi nazo zinatupiliwa huko. Naamini masharti ya dhamana yao itakuwa sawa na wale washitakiwa wengine katika kesi ya EPA.
Hivi mmeshasahau kwamba kwenye hizo noti zenu hapo Tz kuna sahihi ya bwana B.P Mramba??? kama bado hizo noti zenye sahihi yake zipo kwenye mzunguko basi mtapata majibu
Habari za ndani kabisa ni kuwa Masha hakwenda Keko hizi ni rumors ambazo hazina msingi wowote.
Tuwe waangalifu.
"Jinsi alivyokuja kwa kweli aidha alikuwa na ujumbe fulani ambao ni yeye tu angeweza kuutoa au alikuja kuchukua ujumbe kutoka kwa washtakiwa" amesema afisa mmoja ambaye ana uhakika wa anachosema.
....
Haya mapambano yamechukua sura mpya hivi karibuni ni wapambanaji wa dhati wataweza kuona yanaelekea wapi. Sisi Cheche tutaenda next step and continue to lead this ideological battle of which there is no retreat and surrender is not an option. We are in for a long haul.
Good day! Happy Thanksgiving!