- Ni kweli kwamba Masha alienda kuwaona watuhumiwa kule rumande hilo nimethibitisha baada ya kuongea, na nikauliza why kwa nini alienda? nimeambiwa kwamba kwanza Yona ni family friend na besides kuna "mkono mzito sana" uliomtuma na kumpa baraka za kwenda huko.
- Wakuu again kama ninavyosema mara nyingi kuna ambayo huwa hatuwezi kuyaweka hapa mpaka papoe, nimejaribu sana kuyasema anyways as much as I can, ninaomba nijaribu kuiweka ninavyoweza bila kugusa nisipotakiwa besides all inafahamika kwamba anayetafutwa hasa ni nani!
I hope this post inaweza kusaidia angalu kidogo on this ishu ya Masha kwenda huko rumande!
Thanxs!
Huo mkono mzito ni hupi? Basi naona hapa kama "bao la mkono wa mungu" la Maradona kama linataka kujirudia.
Kwa nini asiende mke wake na hiwe Masha? bado haiingii akilini sawa sawa. Masha katika hili anamawaa! unless anasababu ya msingi to the contrary