Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
100%, Sijui wewe!
Bila kuwashughulikia hawa wanasiasa wanaotumia influences zao kwenye siasa kujiingiza kwenye miradi ambayo hata hawana ujuzi wa kuiendesha kwa cost ya mlipa kodi.
Huyu Mzindakaya hata huo ubunge apigwe nje tu. Kaunguza pesa za BOT, sasa kahamia kwenye maliasili?
Hii nchi yetu inaweza kukuletea mtu ukichaa shauri ya hawa wanasiasa ambao pamoja na mishahara ya maana na pensheni nzuri kwasasa lakini tamaa zimewajaa.
Mtu hakatazwi kufanya biashara, lakini lazima mhusika awe na uwezo wa kuifanya hiyo biashara, vinginevyo kwanini serikali impe kibali au imchotee pesa BOT?
Mimi naona hawa wabunge wanajisahau. Serikali ni watendaji na si watekelezaji wa maazimio ya bunge. Hao wanaopigia kelele hivyo vitalu wengi wao wanatafuta nafasi ya ulaji wala si kuangalia maslahi ya taifa!
Amandla............
FM, Bunge linahusika na kutunga sheria. Kwa hiyo sheria ya wanyama pori ilitungwa na Bunge. Vile vile, Kikatiba, Bunge lina wajibu wa kutunga maazimio ya jinsi serikali inavyoweza kufanya shughuli mbalimbali.
Wabunge walio wengi ni vipofu, wavivu wa kusoma/kufikiri/kunyambua.......matokeo yake majitu kama yakina Mzindakaya yanaonekana eti wazalendo!!......damn
Je, Mheshimiwa Sita upo ? Hii si mara yake ya kwanza Majiyatanga Chris ku"breach parliamentary regulations by failing to disclose his financial interests" katika michango yake mbalimbali bungeni. Tulishuhudia kwanza kwenye maswala ya EPA and now TAHOA - wewe umebana tu, whatz up ?
Kulindana hadi bungeni athari zake ni kubwa ama na wewe unaishi kwenye nyumba ya vioo na unaogopa kurushiwa mawe au ukatakiwa ku"disclose" vya mvunguni ? Kumbuka sheria ni msumeno na inakata kote kote iwe CCM au Upinzani. Kuna siku na wewe utatakiwa kuwajibika - that's what.
1. There are suggestions that Mzindakaya breached parliamentary regulations by failing to disclose his financial interests in the countrys hunting industry.
2. Section 49 (7) of parliamentary regulations on rules of debates stipulates that: A Member shall not speak on any matter in which he has personal pecuniary (financial) interest, except after disclosing the nature and extent of that interest.
3. In 1996, Mzindakaya and a South African national, David van de Muelen, took over Tanzania Hunting Safaris Limited.
4. A year later (1997), Mzindakaya and van de Muelen attended the Safari Club International Convention in Nevada, USA, where they are reported to have sold safaris to American clients.
5. Later, David van de Muelen went into hiding taking away all Trophy fees for 1996 and clients deposits for 1997 causing hundreds of thousands of dollars loss to the government and clients. The government was forced to release trophies to clients without being paid a single cent.
6. As if that was not enough, Hon. Mzindakaya through another company -- the Sumbawanga-based Milanzi Wild Animals Zoo and Tours -- was allocated the Swagaswaga Hunting Block, said an industry source.
7. It is a known fact that he kept that block until the end of 2008 without properly utilizing it, causing thousands of dollars loss to the government, he explained. A well-placed parliamentary source told THISDAY: Mzindakaya is known to be involved in tourist hunting activities in Tanzania. Therefore, before tabling his motion, he was required by law to declare his interests.
8. He added: By failing to disclose his financial interests in hunting activities, the MP clearly flouted parliamentary regulations.
3. In 1996, Mzindakaya and a South African national, David van de Muelen, took over Tanzania Hunting Safaris Limited.
4. A year later (1997), Mzindakaya and van de Muelen attended the Safari Club International Convention in Nevada, USA, where they are reported to have sold safaris to American clients.
5. Later, David van de Muelen went into hiding taking away all Trophy fees for 1996 and clients' deposits for 1997 causing hundreds of thousands of dollars loss to the government and clients. The government was forced to release trophies to clients without being paid a single cent.
6. ''As if that was not enough, Hon. Mzindakaya through another company -- the Sumbawanga-based Milanzi Wild Animals Zoo and Tours -- was allocated the Swagaswaga Hunting Block,'' said an industry source.
7. ''It is a known fact that he kept that block until the end of 2008 without properly utilizing it, causing thousands of dollars loss to the government,'' he explained. A well-placed parliamentary source told THISDAY: ''Mzindakaya is known to be involved in tourist hunting activities in Tanzania. Therefore, before tabling his motion, he was required by law to declare his interests.'
Hata kama Mzindakaya ataonekana kuwa ana makosa, lakini hilo haliondoi makosa ya watendaji wa serikali katika sakata la vitalu vya uwindaji-wote wabastahili kushughulikiwa
Mungu wangu biashara itakuwa ngumu kumbuka lazima uwe mbunge ndipo unaweza kuchaguliwa kuwa waziri.Inamaana kila kosa lazima ajiuzuru.Mwishowe wabunge wote watapitia uwaziri hatimayr round ya akina vijisent inarudi kuchaguliwa hahahaha luu hii kali kwelikweli.Ni lini watawajibika au kuwajibishwa? msamaha maana yake umekubali makosa na kaa pembeni wengine wafanye kazi. lakini muda bado upo itabidi waangaliwe.