News Alert: Mwangunga aliangukia Bunge; asamehewa!

News Alert: Mwangunga aliangukia Bunge; asamehewa!

100%, Sijui wewe!

Mimi mgeni. Hata baba yangu hakuzaliwa Tanganyika. Come to think of it, hata mimi sikuzaliwa Tanzania! Kwa hali hiyo basi mimi nimo kwenye kundi la wakina Rostam, ingawa yeye angalau baba yake alizaliwa Igunga! Hata hivyo kwa vile mimi ni mweusi na Rostam mweupe basi utanihesabu mimi mzawa kuliko yeye. Go figure!

Amandla............
 
Mzindakaya`s Motion on Hunting Industry:Conflict of interest?

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam​

NEW questions have been raised about the motion tabled last week by the Kwela Member of Parliament, Chrisant Mzindakaya, on the country’s tourist hunting industry.

Industry sources say the MP had an inherent conflict of interest when he demanded that the government should reverse a previous decision that extended the hunting term given to the Tanzania Hunting Operators Association (TAHOA) to 2012.

There are suggestions that Mzindakaya breached parliamentary regulations by failing to disclose his financial interests in the country’s hunting industry.

Section 49 (7) of parliamentary regulations on rules of debates stipulates that: ’’A Member shall not speak on any matter in which he has personal pecuniary (financial) interest, except after disclosing the nature and extent of that interest.’’

In 1996, Mzindakaya and a South African national, David van de Muelen, took over Tanzania Hunting Safaris Limited.

A year later (1997), Mzindakaya and van de Muelen attended the Safari Club International Convention in Nevada, USA, where they are reported to have sold safaris to American clients.

Later, David van de Muelen went into hiding taking away all Trophy fees for 1996 and clients’ deposits for 1997 causing hundreds of thousands of dollars loss to the government and clients. The government was forced to release trophies to clients without being paid a single cent.

’’As if that was not enough, Hon. Mzindakaya through another company -- the Sumbawanga-based Milanzi Wild Animals Zoo and Tours -- was allocated the Swagaswaga Hunting Block,’’ said an industry source.

’’It is a known fact that he kept that block until the end of 2008 without properly utilizing it, causing thousands of dollars loss to the government,’’ he explained.

A well-placed parliamentary source told THISDAY: ’’Mzindakaya is known to be involved in tourist hunting activities in Tanzania. Therefore, before tabling his motion, he was required by law to declare his interests.’’

He added: ’’By failing to disclose his financial interests in hunting activities, the MP clearly flouted parliamentary regulations.’’


Mzindakaya was yesterday not immediately available to comment about the conflict of interest claims, but he was quoted by media reports as saying he was fighting for national interests.

Mzindakaya, who has somewhat of a reputation for dropping political ’bombshells’ in Parliament, has made some rather controversial remarks inside Bunge in recent years.

During last year’s 2008/09 marathon parliamentary budget session, the MP controversially opposed a motion by opposition lawmakers against the misappropriation of funds from the Bank of Tanzania’s external payment arrears (EPA) corruption scandal, who also called for the resignation of former BoT Governor Dr Daudi Ballali.

He made the remarks in defence of the central bank without publicly declaring that he was among businessmen who were beneficiaries of billions of shillings from financial institutions under the BoT’s guarantee.

These include Sumbawanga Agricultural and Animal Food Industries Limited (SAAFI) that got a loan of 9.7bn/- from Standard Chartered Bank in 2004, thanks to a guarantee from the BoT, whose primary function is to safeguard the country’s economy.

THISDAY had independently verified that Mzindakaya is linked to SAAFI company, a new, ultra-modern meat-processing company set up through a long-term loan guaranteed by the BoT itself.

’’...If there are serious issues that MPs are supposed to raise, I think it is not enough to speak about issues that emerged from the Internet and consider them as evidence because some of the issues that some of us know were gained from our own research,’’ said Mzindakaya during last year’s budget session while fiercely criticizing the opposition camp’s EPA allegations.

He added: ’’First of all, the figures quoted by the opposition camp are wrong. The actual figure (of misappropriated funds) is not $200m, but $133m ... These are the accurate statistics.

Mzindakaya criticized corruption allegations on the EPA scandal presented by the Secretary-General of the opposition CHADEMA party, Dr Wilbrod Slaa, without mentioning that he was actually the beneficiary of a hefty BoT-guaranteed loan.

’’It was evident that his motion was against parliamentary regulations, when he admitted that he got a loan guaranteed by the BoT,’’ said another parliamentary source.

After withdrawing the private member’s motion regarding corruption within the BoT that he planned to present before Parliament at the end of last year, Dr Slaa and other opposition leaders announced the names of 11 public officials implicated in corruption allegations with the said financial institution in the ’List of Shame’ unveiled at the Mwembe Yanga public rally in Temeke District, Dar es Salaam.

The government has since been forced to carry out an investigation regarding claims of rampant corruption within the BoT.

An audit conducted by the international auditing firm, Ernst & Young, in collaboration with the government’s chief auditor, later unveiled the misappropriation of $133m in the EPA account by several businessmen using ’ghost’ companies.
 
Bila kuwashughulikia hawa wanasiasa wanaotumia influences zao kwenye siasa kujiingiza kwenye miradi ambayo hata hawana ujuzi wa kuiendesha kwa cost ya mlipa kodi.

Huyu Mzindakaya hata huo ubunge apigwe nje tu. Kaunguza pesa za BOT, sasa kahamia kwenye maliasili?

Hii nchi yetu inaweza kukuletea mtu ukichaa shauri ya hawa wanasiasa ambao pamoja na mishahara ya maana na pensheni nzuri kwasasa lakini tamaa zimewajaa.

Mtu hakatazwi kufanya biashara, lakini lazima mhusika awe na uwezo wa kuifanya hiyo biashara, vinginevyo kwanini serikali impe kibali au imchotee pesa BOT?
 
This guy needs to go ASAP (and hopefully it's to prison).

My god, who the hell elects these people? What a disgrace.
 
Bila kuwashughulikia hawa wanasiasa wanaotumia influences zao kwenye siasa kujiingiza kwenye miradi ambayo hata hawana ujuzi wa kuiendesha kwa cost ya mlipa kodi.

Huyu Mzindakaya hata huo ubunge apigwe nje tu. Kaunguza pesa za BOT, sasa kahamia kwenye maliasili?

Hii nchi yetu inaweza kukuletea mtu ukichaa shauri ya hawa wanasiasa ambao pamoja na mishahara ya maana na pensheni nzuri kwasasa lakini tamaa zimewajaa.

Mtu hakatazwi kufanya biashara, lakini lazima mhusika awe na uwezo wa kuifanya hiyo biashara, vinginevyo kwanini serikali impe kibali au imchotee pesa BOT?

Mimi hizi kelele anazopiga sasa nilidhani anajitoa katika kundi la fisadiz kumbe yuko na huko katika uwindaji. TZ tuna hatua nyingi sana kuelekea katika ukombozi. Sasa utategemea mtu kama huyu aunge mkono sera itakayolisaidia Taifa ama maslahi ya kundi lake?
 
Mimi naona hawa wabunge wanajisahau. Serikali ni watendaji na si watekelezaji wa maazimio ya bunge. Hao wanaopigia kelele hivyo vitalu wengi wao wanatafuta nafasi ya ulaji wala si kuangalia maslahi ya taifa!

Amandla............

FM, Bunge linahusika na kutunga sheria. Kwa hiyo sheria ya wanyama pori ilitungwa na Bunge. Vile vile, Kikatiba, Bunge lina wajibu wa kutunga maazimio ya jinsi serikali inavyoweza kufanya shughuli mbalimbali.
 
wengi wao pale bungeni wanapigania maslahi yao binafsi. ubinafsi tu!!!!!!!!! wizi mtupuuu. maslahi ya taifa ni ndoto
 
Mimi niliishasema kuwa hawa wabunge kujifanya wanamshupalia waziri kutokana na uchungu wa nchi yao ni uongo mtupu. Wanachogombea ni wao kunyakua kile kinachomilikiwa kihalali na mwingine kwa kutumia kisingizio cha uzalendo. Na baada ya kukabidhiwa watakikamua na kukibakiza kikavu maana hawana mpango wa kukiendeleza. usanii mtupu.
 
Kama unamfahamu Mzindakaya na umekuwa ukimfuatilia, mtu anayefikiri kwamba Mzindakaya anaifahamu na kuiheshimu dhana ya "conflict of interest" ndiye atakushangaza zaidi kuliko hata Mzindakaya mwenyewe.

Kama alivyosema Msekwa, wabunge wengi hawajui kanuni za bunge.

Zitto na muswada wake wa maadili uliopigwa kikumbo na serikali yuko wapi?
 
FM, Bunge linahusika na kutunga sheria. Kwa hiyo sheria ya wanyama pori ilitungwa na Bunge. Vile vile, Kikatiba, Bunge lina wajibu wa kutunga maazimio ya jinsi serikali inavyoweza kufanya shughuli mbalimbali.

Bunge linatunga sheria lakini halihusiki na shughuli za kila siku za kuendesha serikali. Maazimio ya bunge yasiyo sheria yanabakia kuwa ushauri tu na hakuna umuhimu kwa serikali kuyafuata! Ni upungufu kama huu ndiyo uliofanya wabunge kudai ati wawe wanapitia mikataba yote kabla serikali haijaiingia! Sasa hiyo serikali kazi yake nini? Kwa hiyo basi kwa vile sheria zote zinazohusu uhalifu zinapitishwa na bunge basi wabunge ndiyo wenye mamlaka ya kukamata vibaka? Tuwe waangalifu maana tunakoenda ni kubaya.
 
Wabunge walio wengi ni vipofu, wavivu wa kusoma/kufikiri/kunyambua.......matokeo yake majitu kama yakina Mzindakaya yanaonekana eti wazalendo!!......damn
 
"Namshukuru sana Mungu aliyenipa akili na kunifanya nisiwe maskini! Mimi si maskini na siko katika kundi la maskini" hvi ndivyo laisema Mzinda K akiliambia Bunge.
Sorry naweza nikawa sikunukuu nenokwa neno lakini maneno yaliku kama hivi na maana hii.
 
Wabunge walio wengi ni vipofu, wavivu wa kusoma/kufikiri/kunyambua.......matokeo yake majitu kama yakina Mzindakaya yanaonekana eti wazalendo!!......damn

Naongezea Mazee Ogah kuwa wengi wao pia ni mbumbumbu, magoigoi, vilaza, vihiyo, matapeli, vichwa maji, fisadiz yaani ni soo. Halafu tunategemea hawa watu watunge sheria na kutetea maslahi ya Watanzania?? Heeel NO.
 
Je, Mheshimiwa Sita upo ? Hii si mara yake ya kwanza Majiyatanga Chris ku"breach parliamentary regulations by failing to disclose his financial interests" katika michango yake mbalimbali bungeni. Tulishuhudia kwanza kwenye maswala ya EPA and now TAHOA - wewe umebana tu, whatz up ?

Kulindana hadi bungeni athari zake ni kubwa ama na wewe unaishi kwenye nyumba ya vioo na unaogopa kurushiwa mawe au ukatakiwa ku"disclose" vya mvunguni ? Kumbuka sheria ni msumeno na inakata kote kote iwe CCM au Upinzani. Kuna siku na wewe utatakiwa kuwajibika - that's what.
 
Je, Mheshimiwa Sita upo ? Hii si mara yake ya kwanza Majiyatanga Chris ku"breach parliamentary regulations by failing to disclose his financial interests" katika michango yake mbalimbali bungeni. Tulishuhudia kwanza kwenye maswala ya EPA and now TAHOA - wewe umebana tu, whatz up ?

Kulindana hadi bungeni athari zake ni kubwa ama na wewe unaishi kwenye nyumba ya vioo na unaogopa kurushiwa mawe au ukatakiwa ku"disclose" vya mvunguni ? Kumbuka sheria ni msumeno na inakata kote kote iwe CCM au Upinzani. Kuna siku na wewe utatakiwa kuwajibika - that's what.

Six hana ubavu siku hizi, toka aliporushiwa makombora yake ya matumizi machafu ya pesa za walala hoi and totos ect.........ana adabu kuliko paka!
 
Hata kama Mzindakaya ataonekana kuwa ana makosa, lakini hilo haliondoi makosa ya watendaji wa serikali katika sakata la vitalu vya uwindaji-wote wabastahili kushughulikiwa
 
Bila migongano ya aina hii mengi tusingeyajua. Acha wasuguane wenyewe ili angalau tujue nani ni nani katika utafunaji wa rasilmali za nchi yetu.
 
1. There are suggestions that Mzindakaya breached parliamentary regulations by failing to disclose his financial interests in the country’s hunting industry.

2. Section 49 (7) of parliamentary regulations on rules of debates stipulates that: ’’A Member shall not speak on any matter in which he has personal pecuniary (financial) interest, except after disclosing the nature and extent of that interest.’’

3. In 1996, Mzindakaya and a South African national, David van de Muelen, took over Tanzania Hunting Safaris Limited.

4. A year later (1997), Mzindakaya and van de Muelen attended the Safari Club International Convention in Nevada, USA, where they are reported to have sold safaris to American clients.

5. Later, David van de Muelen went into hiding taking away all Trophy fees for 1996 and clients’ deposits for 1997 causing hundreds of thousands of dollars loss to the government and clients. The government was forced to release trophies to clients without being paid a single cent.

6. ’’As if that was not enough, Hon. Mzindakaya through another company -- the Sumbawanga-based Milanzi Wild Animals Zoo and Tours -- was allocated the Swagaswaga Hunting Block,’’ said an industry source.

7. ’’It is a known fact that he kept that block until the end of 2008 without properly utilizing it, causing thousands of dollars loss to the government,’’ he explained. A well-placed parliamentary source told THISDAY: ’’Mzindakaya is known to be involved in tourist hunting activities in Tanzania. Therefore, before tabling his motion, he was required by law to declare his interests.’’

8. He added: ’’By failing to disclose his financial interests in hunting activities, the MP clearly flouted parliamentary regulations.’’

- Kila siku yanazuka mapya, iliyobaki tuwaombe Wa-China watufundishe namna walivyofikia kwenye sheria zao kali dhidi ya viongozi wa juu mafisadi maana kwa kweli Tanzania tunao candidates wengi sana wa kuwekwa kwenye mstari wa firing squad.

- Now it makes sense ni kwa nini Mzindakaya alijiunga na Mkapa na Lowassa, kumbe na yeye ana matatizo mengi sana ya ufisadi, ndio maana huwa ninasema ni vigumu sana kiongozi mchafu kuweza kuwasafisha wachafu wengine, tena ukiwafuatilia kwa karibu hawa kina Mzindakaya wana ishus nyingi sana kuliko hata hizi chache zinazosemwa, lakini pole pole tutawafikia wote.

Lakini this is incredible!
 
3. In 1996, Mzindakaya and a South African national, David van de Muelen, took over Tanzania Hunting Safaris Limited.

4. A year later (1997), Mzindakaya and van de Muelen attended the Safari Club International Convention in Nevada, USA, where they are reported to have sold safaris to American clients.

5. Later, David van de Muelen went into hiding taking away all Trophy fees for 1996 and clients' deposits for 1997 causing hundreds of thousands of dollars loss to the government and clients. The government was forced to release trophies to clients without being paid a single cent.

6. ''As if that was not enough, Hon. Mzindakaya through another company -- the Sumbawanga-based Milanzi Wild Animals Zoo and Tours -- was allocated the Swagaswaga Hunting Block,'' said an industry source.

7. ''It is a known fact that he kept that block until the end of 2008 without properly utilizing it, causing thousands of dollars loss to the government,'' he explained. A well-placed parliamentary source told THISDAY: ''Mzindakaya is known to be involved in tourist hunting activities in Tanzania. Therefore, before tabling his motion, he was required by law to declare his interests.'

Hata kama Mzindakaya ataonekana kuwa ana makosa, lakini hilo haliondoi makosa ya watendaji wa serikali katika sakata la vitalu vya uwindaji-wote wabastahili kushughulikiwa

Hao watendaji walikosea nini kuwanyima wawekezaji wazawa kama huyu mheshimiwa na washiriki wake? Huyu aliwaingiza watu mitini na kampuni yake ya kwanza lakini bado akapewa kitalu kingine ambacho hajakiendeleza sawasawa mpaka sasa! Nyinyi kwa uzalendo wenu mnaona bora bado apewe mweusi mwenzenu kuliko huyo mnayemuona mgeni ambaye atakiendeleza? Kweli mnaitakia mema nchi yenu?

Amandla.........
 
Ni lini watawajibika au kuwajibishwa? msamaha maana yake umekubali makosa na kaa pembeni wengine wafanye kazi. lakini muda bado upo itabidi waangaliwe.
Mungu wangu biashara itakuwa ngumu kumbuka lazima uwe mbunge ndipo unaweza kuchaguliwa kuwa waziri.Inamaana kila kosa lazima ajiuzuru.Mwishowe wabunge wote watapitia uwaziri hatimayr round ya akina vijisent inarudi kuchaguliwa hahahaha luu hii kali kwelikweli.
 
Back
Top Bottom