Davies Davies
Senior Member
- May 20, 2013
- 118
- 12
Oooooiiih g'luck mzazi,,mi nimechaguliwa D.I.T direct entry,so am just giving ya a holaa,,vipi mazingira,facilities?
sifa za kujiunga na pre entry ni zip..nina 30 points ya div 4,math D,phy F.bios D,chem C,geog D..naweza pata,gharama ya pre entry ni tsh?
Kijana acha kabisa kuapply maana dit pcm ndo kila kitu mimi mwenyewe nimeomba labaratory technology pre entry bio c chem c phy d na math f nimekosa.usijaribu kabisa kwenda na hiyo fcwez pata hata niki apply..kwa hyo f ya phy..?
dah ...wanajamvi naomba msaada wenu..je kwa sasa naeza fanya application d.i.t?nina C ya phy,C ya chem na B ya hesabu....(diploma)
Oooooiiih g'luck mzazi,,mi nimechaguliwa D.I.T direct entry,so am just giving ya a holaa,,vipi mazingira,facilities?
sorry hivi wa direct entry lini tunaingia mzigoni?
direct entry bado majina