News alert:Wale wa pre-entry DIT tuonane apa

News alert:Wale wa pre-entry DIT tuonane apa

Davies Davies

Senior Member
Joined
May 20, 2013
Posts
118
Reaction score
12
kwa wale wanao tarajia kusoma pre-entry course DAR-ES-SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY(DIT) tujuane apa
 
sifa za kujiunga na pre entry ni zip..nina 30 points ya div 4,math D,phy F.bios D,chem C,geog D..naweza pata,gharama ya pre entry ni tsh?
 
Oooooiiih g'luck mzazi,,mi nimechaguliwa D.I.T direct entry,so am just giving ya a holaa,,vipi mazingira,facilities?
 
sifa za kujiunga na pre entry ni zip..nina 30 points ya div 4,math D,phy F.bios D,chem C,geog D..naweza pata,gharama ya pre entry ni tsh?

Daah mkuu wana anglia sana physics so kma phy ume harbu ina kuwa vigumu kuk chagua
 
kapigen msuli nyie wa preentry manake mko 1400 hvi afu wanataka kama mia mbil hvi
 
cwez pata hata niki apply..kwa hyo f ya phy..?
Kijana acha kabisa kuapply maana dit pcm ndo kila kitu mimi mwenyewe nimeomba labaratory technology pre entry bio c chem c phy d na math f nimekosa.usijaribu kabisa kwenda na hiyo f
 
dah ...wanajamvi naomba msaada wenu..je kwa sasa naeza fanya application d.i.t?nina C ya phy,C ya chem na B ya hesabu....(diploma)
 
Back
Top Bottom