News from tcu!

oil sumu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
787
Reaction score
47
Mbona kwenye cut off point ya udom ilikuwa ni 4 kwa b.a ed lakini kuanzia tar 1/7 imekuwa ni 2.5 tatizo ni nini!
 
Demand ya wanafunzi wenye point 4 ni ndogo.
 
hapa si tunapoteza dhamani ya chuo!
 
Udom kipo wapi?
maana nime-google top 100 university kwa Africa hata sijakiona
 
Jaribu uone km utachukuliwa,jamaa mwenyewe mwenye cutt of point ya 4 imeandikwa NO sembuse 2.5.Tht's system error kjana
 
Ulitaka kiwepo wakati hakina hata miaka 10, angalia UDSM ina muda gani ni ipo kwenye nasafi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…