News - HESLB

Status
Not open for further replies.
aha! kumbe hyo nayo inaweza kuwa newz! acha ujinga watu,2nalipia bundles.
 
Pole kijana hayo matusi ni mazito ila sina uwezo wa kukutua.
Nakushaur ufikirie athar ya kitu kabla hujakifanya, watu wanaumia kwa sababu ya kucheleweshwa mkopo kwa kichwa cha habar yako ulionyesha ww unataarifa ya kutolewa kwa mkopo kumbe sio. Kama unataka kujua kitu andika sentesi mwisho weka alama hii ?.
Hayatakukuta haya majanga tena
 
nilijua ana bonge la habari ya maana! Ila nmeshamsamehe asirudie tena!
 
ila wale wa priorty hata kama fomu yako hukuweka pcha au hukusain nk. Hutapewa tena muda wa kurekebsha error in short lazima ulambe mkopo
 
ila wale wa priorty hata kama fomu yako hukuweka pcha au hukusain nk. Hutapewa tena muda wa kurekebsha error in short lazima ulambe mkopo

wapo walimu tarajali kibao hawana mkopo usijipe hope bodi walishatoa muda wa kurekebisha makosa kama hukuenda ndo nitolee.
 
wapo walimu tarajali kibao hawana mkopo usijipe hope bodi walishatoa muda wa kurekebisha makosa kama hukuenda ndo nitolee.

angalia walichofanya loan board mwaka jana wamewapa tena wiki mbili abha ubishi
 
Jiangalie wewe,hiyo heading inaendana vp na mada?ni news au swali lako la kipuuz?na pia hlo swali kama msomi halijakamilika,majina ya nini?ya nani?...you are among the reasons why my middle finger was created#

hahah mkuu umeniacha hoi
 
Mkizidi kumjibu kila mara inaonekana mpya.
 
mtatuua kwa presha bule
 
ndo ubaya wa kuvamia jukwaa kichwakichwa ss news gan hii......!!!?
watu wengine matusi mnayapenda!
 
Jiangalie wewe,hiyo heading inaendana vp na mada?ni news au swali lako la kipuuz?na pia hlo swali kama msomi halijakamilika,majina ya nini?ya nani?...you are among the reasons why my middle finger was created#

Duh!! alijua hili jukwaa la jokes!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…