Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kijana hayo matusi ni mazito ila sina uwezo wa kukutua.
Nakushaur ufikirie athar ya kitu kabla hujakifanya, watu wanaumia kwa sababu ya kucheleweshwa mkopo kwa kichwa cha habar yako ulionyesha ww unataarifa ya kutolewa kwa mkopo kumbe sio. Kama unataka kujua kitu andika sentesi mwisho weka alama hii ?.
Hayatakukuta haya majanga tena
ila wale wa priorty hata kama fomu yako hukuweka pcha au hukusain nk. Hutapewa tena muda wa kurekebsha error in short lazima ulambe mkopo
wapo walimu tarajali kibao hawana mkopo usijipe hope bodi walishatoa muda wa kurekebisha makosa kama hukuenda ndo nitolee.
ila wale wa priorty hata kama fomu yako hukuweka pcha au hukusain nk. Hutapewa tena muda wa kurekebsha error in short lazima ulambe mkopo
Jiangalie wewe,hiyo heading inaendana vp na mada?ni news au swali lako la kipuuz?na pia hlo swali kama msomi halijakamilika,majina ya nini?ya nani?...you are among the reasons why my middle finger was created#

Da! 2na presha saiz ujue.nikahc mambo poa,kumbe mambo ya ajabu