igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 957
- 1,496
Sidhani km unajitambua ... unaonekana wewe ni binti usiojielewa kabisa au ni group moja na kina Ray Waniache. ... uumbaji wa Mungu haujawahi kuwa na makosa.... + huyu dogo huwezi mfananisha na yule bash'"a wako yule kitambi mbinuko in every aspect.Hizo Pua zilivyojitokeza hivyo utadhani Kifaru kaona Kitoweo ataweza kweli Kudaka huyu? Wana Yanga FC wenzangu hivi ni kwanini Sisi usajili wetu huu tulioufanya ni wa ' Kingumbaru / Kijinga ' sana? Kwa huyu Golikipa Wana Yanga FC wenzangu tumesajili ' taulo ' tu la kukaa pale golini na tusiombe siku na sisi tuwaige Simba SC siku ile walipocheza na Sisi na wakampanga Kipa wao Yule mdogo Manyika Jr kwani tunaweza hata kufungwa magoli 23.
Wana Yanga FC wenzangu tusikubali sajili hizi mbovu mbovu kama vipi tuandamane hadi kwa Sanga au Mkwasa.
BTW huyu dogo kwenda Yanga na kuwa kipa no3. .. ni kosa kubwa ambalo atalijutia siku za usoni, .. namtakia kila la kheri
Sent using Jamii Forums mobile app