News:Kipa wa Serengeti boys Ramadhani Kabwili asaini Yanga miaka mitano!!

Sidhani km unajitambua ... unaonekana wewe ni binti usiojielewa kabisa au ni group moja na kina Ray Waniache. ... uumbaji wa Mungu haujawahi kuwa na makosa.... + huyu dogo huwezi mfananisha na yule bash'"a wako yule kitambi mbinuko in every aspect.

BTW huyu dogo kwenda Yanga na kuwa kipa no3. .. ni kosa kubwa ambalo atalijutia siku za usoni, .. namtakia kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Genta bana
 
Umechangia sh ngapi kwenye usajili mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa naona km umeliamsha dude, muda si mrefu atajibu mashambulizi. Mkuu jiandae na makombora ya kuzuia mizinga ya masafa marefu huyo uliemchokoza majibu yake balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa naona km umeliamsha dude, muda si mrefu atajibu mashambulizi. Mkuu jiandae na makombora ya kuzuia mizinga ya masafa marefu huyo uliemchokoza majibu yake balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ...... mkuu ' ukweli ni mchungu sana, wengine wanafungwa kwa kusema ukweli..... sembuse kutukanwa humu na anonymous with a fake identification ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ka vipi hamia mkiani...hiyo ni promising talent mkuu..acha wasajili wahenga kila mwaka wanajenga timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana...! Hiyo inaitwa sintofahamu
 
Dah.. Huyo dogo, ndoto zake za kucheza soka nje ya nchi huenda ikageuka kuwa chungu maana ving'ang'anizi mno Vyura FC
 
Kuna sehemu una tatizo kijana.
 
ni uwekezaji mzuri kwa yanga ila kwa dogo kama alikuwa na usaidizi wa mwanasheria inaweza kuwa nzuri pia kwake. kwa jinsi mikataba ya hivi vilabu viwili vikubwa inavyokuwaga na magumashi kama dogo hakuwa na mwanasheria itakuwa imekula kwakwe mazima.
 
Looo dogo bora aende zake kwa mkopo hata Mtibwa ama Azam U20,club za Simba na Yanga si marafiki kwa young players...watamuulia kipaji kabisaa
 
Kwa kuanzia sifa ya kipa ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mkuu mimi naona watampotezea muda na kiwango chake kushuka maana timu zetu zinaendeshwa kisiasa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…