News of Rwanda yaandika kuwa Rais Jakaya Kikwete anaweza kuwa na asili ya Gitega Burundi....

News of Rwanda yaandika kuwa Rais Jakaya Kikwete anaweza kuwa na asili ya Gitega Burundi....

Status
Not open for further replies.

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
Sunday, August 18, 2013 | 7:51 PM

Mtandao wa News of Rwanda juzi umeandika makala yenye kichwa cha habari, ‘If President Kikwete is Tanzanian, then most Rwandans being expelled are Tanzanians too' na kuandika kile linachodai kuwa Rais Kikwete anaweza kuwa na asili ya Burundi.

Jakaya-KikweteBC.jpg

Kwa mujibu wa wazee wa Burundi waliohojiwa na mtandao huo, umedai Rais Kikwete anaweza kuwa na asili ya Giteka, Burundi.

"They are of Rwandan origin, but speak Kirundi and solely prefer to be viewed as Burundians. By virtual of that country's laws, they are indeed Burundians," limeandika.

So where did President Jakaya Mrisho Kikwete come from? There are no original residents of Bagamoyo in Tanzania where Kikwete's parents are traced. Most people from that area are remnants of slaves who were seem as unfit for the market during the slave trade era.

Bagamoyo formally (Bwagamoyo) was one of the biggest slave trade centres in East Africa and people were being traded from various areas of East Africa. For those of Bagamoyo, however, almost all came from Burundi and Zaire.


Historical discourse shows that most Tanzanians are from other neighbouring countries. The Ngoni people came from Zulu land in South Africa; Yao used to belong to Mwanamtapa Kingdom; Arabs of Unguja and Pemba Irelands in Zanzibar came from Oman during the rule of Sultan Sayid Said.

Chaga, Maasai and Meru people of Northern Tanzania are traced in Kenya; Hangaza people from Burundi; Haya people from Uganda; Waha (Ha people) arrived in from Zaire and Burundi; the Makonde people (tribe of former Tanzania President Benjamin William Mkapa) came from Mozambique; Nyasa People relocated from Malawi; almost all Mara region dwellers came from Kenya and the list can cover about 80percent of all Tanzanians.

The Singida and some Arusha people like Warangi, Wasandawe, Wabaebaig, Wairaq and Hadzabe are not Bantus, but Semi Nilotic who found themselves in that country after immigration for survival.

Tanzania's current Constitution states that all people who were present in 1961 from 00.00 mid night during Tanganyika Independence are legally Tanzanians despite their vast origins. It is beyond comprehension therefore why Rwandans who were in Tanganyika from 1959 and before are being evicted as illegal immigrants.

Elderly women are being rounded up at gun point with nothing on them, and forced out to the Rwanda-Tanzania border. The children they had with Tanzania men are remaining, because according to President Kikwete, the children are Tanzanian and not their mother. The same thing is happening to men married to Tanzanian women.


--------------------------------------------
MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AKANUSHA

Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara hiyo amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye mitandao kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ni shemeji wa aliyekuwa Rais wa Rwanda, marehemu Juvenal Habyarimana.

"Taarifa hizi siyo za kweli na nafikiri taarifa zimeandaliwa kwa ajili ya kumpaka matope Mheshimiwa Rais. Kama kuna taarifa zozote basi tunaweza kutoa ufafanuzi lakini taarifa hizo siyo za kweli na bahati mbaya zimeendelea kujirudia na zinatoka kwenye mitandao mingi hasa kutoka Rwanda," amesema Mwambene na kufafanua kuwa lengo la mitandao ya kijamii ni kuhabarisha na kuelimisha umma wala siyo kupotosha jamii kwa kuandika habari zisizo na ukweli wowote.

Ili kukabiliana na taarifa potofu, Mwambene amesema, "...katika mabadiliko ambayo yanapendekezwa katika Serikali ya ku-deal na tatizo hili, tunakuja na pendekezo la kisheria litakalohakikisha kwamba tunamtambua kila mtumiaji wa mitandao hii kwa mfano blog. Nafikiri mmeanza kuona kuna training sasa zinafaanyika kuhakikisha kwa mfano --- wote wenye blogu unakuta wengi siyo waandishi wa habari, hajasomea uandishi wa habari lakini blogu yake inafanya kazi kama gazeti --- tulichokifanya sasa na nafikiri tutaendelea mpaka uje utaratibu wa kisheria, tunamtambua kila mtumiaji wa iwe ni blog, iwe ni Twitter, iwe ni internet cafe..." alisema Mwambene.

Source: wavuti.com - Blog


Pia, soma: Kagame tells Kikwete "I will hit you......"
 


Sunday, August 18, 2013 | 7:51 PM



Hao waandishi wa Rwanda ni wapuuzi sana na hao hao ndio waliochochea mauaji ya 1994 !!!!
Wapo kwenye mfuko wa Kagame !!!
Wana acha kukemea ukabila unaolitafuna taifa lao wanahangaika na huyu!!!










 
kweli mkuu hii nchi imebeba watu wengi sana me mwenyewe ni mkenya lakini nakula bata tu na kifamilia changu hakuna anayejua.
 
katika EAC Tanzania ndio yenye kila kitu, wanatamani kuipora aridhi tatizo uwezo hawana.

acha walie tu, Tanzania ni maskini jeuri.!!!
 


Sunday, August 18, 2013 | 7:51 PM



Hao waandishi wa Rwanda ni wapuuzi sana na hao hao ndio waliochochea mauaji ya 1994 !!!!
Wapo kwenye mfuko wa Kagame !!!
Wana acha kukemea ukabila unaolitafuna taifa lao wanahangaika na huyu!!!






Anavyoliendesha JANGA hili Rais wetu analifanya la kilabila; Kama ni ISSUE ya KAGAME ni ISSUE yake na KAGAME kama ni ISSUE ya WAKIMBIZI basi sio wa Rwanda pekee kuna Waburundi pia; na ni kwanini aambatanishe hizo issue?

Kama yeye ni MPENDA AMANI na MAZUNGUMZO kama alivyomshauri Rais Kagame aongee na wale wasaliti ni kwanini yeye basi asimuite KAGAME Tanzania na kuyaongelea? Sasa tunahatarisha hata Watanzania wenye asili ya kinyarwanda kuikimbia nchi kama wanavyosema huyo Mwanajeshi.

Nchi yetu ilikuwa ndio MODEL ya nchi za JIRANI why now???

Tunampenda Rais wetu lakini pia akubali makosa... Wakimbizi wa Kinyarwanda kweli wametukosesha raha kiasi hicho???
 
i love bongo bana, kila tribe imekuja bongo kivyake! Sikujua wahyao wana asili ya zimbabwe! Watatutaka hatuna tribelism sie wacha wao watwangane tu!
 
kweli mkuu hii nchi imebeba watu wengi sana me mwenyewe ni mkenya lakini nakula bata tu na kifamilia changu hakuna anayejua.

Haaaa!Kumbe haupo kihalali?Tumejua.Kazi inaanzia kwako.Jiandae kama hao wahamiaji wa Rwanda....
 
Hivi jamani, ni makosa nchi kufuata sheria zake? Tanzania haifukuz mtu anaeish kwa kufuata sheria na taratibu za hata kama sio raia wa kuzaliwa, ilimradi ameomba na akapewa, sasa hao jamaa wa Rwanda wanaanza kuleta stori za miaka ya nyuma kabla ya uhuru, hayo yashapita na isitoshe vijamaa vinajisikia sana! Sasa presda wangu JK, Nisafishie raia zote zinazoish kinyemela zirudi kwao.
 
Aisee huyu mwandishi anasema Ukweli. Mimi ni Mhaya lakini ni kweli Wahaya wengi tumetoka Uganda. Huo ni ukweli usiopingika. Wale wa Muleba wametoka Burundi.
 
Hadanganywi mtu hapa..hizo ni propaganda za watutsi...siku 14 zishapita...zoezi lianze hawa watu lazima waondoke mbona wanatapata na kung'ang'ania nchi za watu kwikwikwi JK kawashika pabaya walikuwa wamesahau tumewakaribisha wengi kitambo ....waende salama banaaa..
 
Kwa taarifa yao, Tanzania ilikuwa na watu kabla ya hiyo biashara ya utumwa, watu wa tz ndio waliomigrate kwenda hizo nchi nyingine na sio kinyume, wataalamu wa historia wanakwambia binadamu wa kwanza aliishi tz oldvai gorge.
Hakuna nchi inayokumbatia wahamiaji haramu, wameambiwa wafuate taratibu wahalalishwe au waondoke..rafiki yangu mnyarwanda yupo kule wala hata wasiwasi hana, ana makaratasi take halali kabisa kwa briefcase
 
Hawa malofa kweli! Kwahiyo kwa akili zao wanafikili Tanzania ni watu wa kuja km wao? Labda wangejiuliza wenyewe asili yao wapi na kwanini wapo Rwanda,, Yani nimecheka sana na huu ----- yan kila nchi iliyotuzunguka eti ndo tumetokea uko ni vizuri km hilo ni kweli basi tuna mix nzuri ya makabila thanx to Arabs na biashara ya utumwa kwani wametuletea makabila mengi na asili nyingi kupitia utumwa! Kwahili Rwanda lazima waumie kua na vikabila vitatu tu yani watwa ,wahutu na watusi
 
Anavyoliendesha JANGA hili Rais wetu analifanya la kilabila; Kama ni ISSUE ya KAGAME ni ISSUE yake na KAGAME kama ni ISSUE ya WAKIMBIZI basi sio wa Rwanda pekee kuna Waburundi pia; na ni kwanini aambatanishe hizo issue?

Kama yeye ni MPENDA AMANI na MAZUNGUMZO kama alivyomshauri Rais Kagame aongee na wale wasaliti ni kwanini yeye basi asimuite KAGAME Tanzania na kuyaongelea? Sasa tunahatarisha hata Watanzania wenye asili ya kinyarwanda kuikimbia nchi kama wanavyosema huyo Mwanajeshi.

Nchi yetu ilikuwa ndio MODEL ya nchi za JIRANI why now???

Tunampenda Rais wetu lakini pia akubali makosa... Wakimbizi wa Kinyarwanda kweli wametukosesha raha kiasi hicho???
ulitaka raisi wetu ampigie magoti kagame?kapewa ushauri hataki bac.na hao wamiaji haram wanatakiwa waondoke haraka hata ilkiwa ni wewe au mkeo s mtz anzisheni mapema kabla hatujawagundua tutawatoa unaruhusiwa kuishi kwa utaratibu uliowekwa.usitake kumpa sapot mwizi ya raslimali za kongo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom