News of Rwanda yaandika kuwa Rais Jakaya Kikwete anaweza kuwa na asili ya Gitega Burundi....

News of Rwanda yaandika kuwa Rais Jakaya Kikwete anaweza kuwa na asili ya Gitega Burundi....

Status
Not open for further replies.
Mkuu Nguruvi3 , Hawa watu huwa wananishangaza sana. Kwenye mambo ya msingi ambayo wanatakiwa kuwaeleza Watanzania wala huwaoni hata kutoa pua zao lakini wanakuwa very active kwenye mambo ambayo ni trivia.

Wanatumia nguvu kubwa kukanusha mambo ya kwenye mitandao na vijiwe vya kahawa Rwanda wakati tuna mambo muhimu nchini yanayohitaji clarification kama ya vile 'waharifu' kusafirishwa na helikopta ya serikali kwenda kusomewa mashitaka na kurudishwa tena mahabusu.

Kwani ni dhambi au kosa kuwa na uhusiano wa kindugu au kirafiki na Habyarimana?. Toka lini binadamu akapata uwezo wa kuchagua ndugu. Hizi political correctness zinawapeleka kubaya.
Unajua ni too low, yaani Ikulu inajibu habari za wahuni wa Kigali! Halafu anashindwa kufafanua hata swali kwani kuoa mnyarwanda kuna tatizo gani au kunaondoa haki gani au kuvunja sheria gani. Halafu evidence gani iliyopo, lakini huko kote wala hakutakiwa kujibu alitakiwa kusema ni habari za mitaani aendelee na shughuli nyingine.

Huyu ametoka wizara ya mambo ya nje na hivyo ana exposure kubwa sana sasa sijui inamsaidiaje.
Tatizo la wasomi wa Tanzania ni kukosa kujiamini. Yeye anaamini kuwepo kwake Ikulu ni kwasababu amependwa na watu wa Ikulu wala soi qualifications. Matokeo ya hayo anafungia knowledge kabatini na kubaki kubweka kama mnyama mwingine katika animal kingdom. Alichotaka ni kumfarahisha bwana bila hata kuangalia rationale ya kufanya hivyo

Hawa wasomi kama akina Salva wanasikitisha. Tuna habari za askari kutoroka, kuna kumwagiwa tindikali, mashambuliz znz, matatizo ya inflation, mambo mengi ya kisiasa na kiuchumi wao wameona muhimu sana ni kuja kujibiozana na wahuni wa Kigali. Too low Ikulu, this is too low. Kwa nchi za wenzetu huyu bwana kaidhalilisha taasisi ya urais angekuwa kwenye dawati habari maelezo kesho. Shame on you Assah

mambo ya ajabu kabisa haya,sasa sensorship kwa bloggers au wenye mitandao ya nini? JF wameenza kufyeka topic/post za watu especially zinazosema kuhusu JK...something fish hapa.

Ukiandika chochote kibaya dhidi ya JK
 
hata angekua shemeji, sioni tatizo....

watu wenye dhambi ya ukabila tu ndio watatafuta kila sababu waingize kabila kwenye equation
 
Unajua ni too low, yaani Ikulu inajibu habari za wahuni wa Kigali! Halafu anashindwa kufafanua hata swali kwani kuoa mnyarwanda kuna tatizo gani au kunaondoa haki gani au kuvunja sheria gani. Halafu evidence gani iliyopo, lakini huko kote wala hakutakiwa kujibu alitakiwa kusema ni habari za mitaani aendelee na shughuli nyingine.

Huyu ametoka wizara ya mambo ya nje na hivyo ana exposure kubwa sana sasa sijui inamsaidiaje.
Tatizo la wasomi wa Tanzania ni kukosa kujiamini. Yeye anaamini kuwepo kwake Ikulu ni kwasababu amependwa na watu wa Ikulu wala soi qualifications. Matokeo ya hayo anafungia knowledge kabatini na kubaki kubweka kama mnyama mwingine katika animal kingdom. Alichotaka ni kumfarahisha bwana bila hata kuangalia rationale ya kufanya hivyo

Hawa wasomi kama akina Salva wanasikitisha. Tuna habari za askari kutoroka, kuna kumwagiwa tindikali, mashambuliz znz, matatizo ya inflation, mambo mengi ya kisiasa na kiuchumi wao wameona muhimu sana ni kuja kujibiozana na wahuni wa Kigali. Too low Ikulu, this is too low. Kwa nchi za wenzetu huyu bwana kaidhalilisha taasisi ya urais angekuwa kwenye dawati habari maelezo kesho. Shame on you Assah

Kila mara ninasema hapa, Watanzania tunapenda sana habari za kiudaku na huwa tunatumia muda mwingi kushughulika na vitu ambavyo havina hata impact ya maana katika maisha yetu.

Usishangae habari kama hii inakuwa kwenye front page za broadsheet newspapers nchini kwa sababu kutofautisha habari zake na tabloids nyingi nchini is like looking for a needle in a haystack.

Watu kama hawa hawafahamu kuwa kuna mambo mengine ya kisiasa ukifungua mdomo na kutoa jibu ni kukaribisha maswali na makinzano mengine mengi ya kisiasa.

Anyway, hawa ndiyo watumishi wa serikali yetu wether we like or not.
 
Kama kigezo ni nafasi na uzoefu, hata Idi Amini alishawahi kuwa Rais wa nchi kwa miaka zaidi ya minane. kinachoangaliwa hapa ni how she/he live up to his/her calling.
Nadhani uzoefu wake unazidisha dhalili kwasababu haionekani kuwa umemsaidia kwa lolote.

Assah anadhani Ikulu ni nyumbani kwa rais! He is not informed kuwa Ikulu ni ofisi ya nchi na hivyo kauli zitokazo pale lazima ziwe katika kiwango tarajiwa.

Kagame alipomtukana JK hatukusikia mtu akilalamika kwanini Ikulu haijibu. Tunajua ikulu haijibu upuuzi kwa upuuzi Ikulu inafanya kazi kwa diplomasia, weledi na intelejensia.
Ghafla huyu bwana kala mayai na jibini kaamua kupanda gari kwenda kujibu matusi ya wahuni wa Kigali! ndicho alichokiona cha maana sana na ukimuuliza atakwambia alikwenda kujenga taifa kama mkulima wa Kipera Morogoro

Laiti angekuwa na weledi majibu ya wahuni wa Kigali yamejinbiwa hapa vizuri sana na wala hakuhitaji kwenda Library(sina hakika mara ya mwisho alikwenda lini).

Sasa huyu mtu asiyeweza kuona hata majibu ya blogu za nyumbani anataka tuamini anaweza kumkamata bloga wa Zimbabwe, Philipine au Spain! Jamani !

Huyu mtu asiyejua kilo 150 za unga zimepitaje uwanja wa ndege, asiyeweza kueleza tembo wanapuputika kutokana na nini asiyeweza kutoa ufafanunuzi wa matatizo ya madawa ya kulevya anaamini anaweza kumchungulia mtu internet cafe!

Kwa hili atoke na kuomba radhi, hakika tutamueleza ukweli jinsi alivyodhalilisha taifa.
 
WANATAKA WABANE ili WA tz WAZIDI KUWA MAZUZU DA!!!#@WAENDELEE KUKOROMAA!Du sioni pa kutokea!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom