Tetesi: News wabunge watimuliwa

Tetesi: News wabunge watimuliwa

Wametegwa na CUF ORIGINAL
nadhani MWENYEKITI WA CCM AWAITE CUF ORIGINAL aongee nao Auamshauri tu lipumba aachie ngazi ampe wizara Fulani awe waziri yaishe.
Kwasababu yanayoendelea yanainajisi Sana nchi yetu na misingi imara iliyowekwa ya demokrasia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Neno unajisi haliko kwenye kamtusi yao ila let profeserlipoumberf limo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4add2a09d9502d7c886eba037b78d3bf.jpg

Huu mchezo hautaki hasira
Ukimwaga mboga wengine wanamwaga ugali

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wengine huwa tunamwaga maji ya kunawa baada ya nyie kumwaga ugali na mboga...

siasa za Tz kizungumkuti aseeh
 
Back
Top Bottom