Newton 3rd law of motion: "For every reaction there is an equal and opposite re-action". How this is applicable in our daily life?

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Newton 3rd law of motion iko very clear kusema
"......for every action there is an equal and opposite re-action...."​

Kwa ufafanuzi rahisi kwa Kiingereza hichohicho, maana yake ni kuwa👇;

"......for every force or beating or torture or kindness etc exerted on one object or person, there is an equal and opposite force exerted back on the first object. In essence that, forces always occur in pairs...."

Kwa tafsiri isiyo rasmi na ya moja kwa moja kwa kiswahili ni kuwa ktk maisha ya wanadamu ya kila siku👇;

"...kwamba, nguvu yoyote anayotumia mtu kuitoa kwake kuelekea kwa mtu mwingine iwe kwa nia mbaya/ovu mfano; kuumiza, kutesa, kuua nk au iwe kwa nia njema mfano; kutoa sadaka nyingi, kuponya, kuokoa maisha nk ndiyo nguvu ya namna hiyo hiyo mara zote "ALWAYS" humrudia mtu huyo iwe kwa ubaya au kwa uzuri/wema vivyo hivyo..."​

Dhana hii ya Newton, actually ndiyo dhana iliyobebwa na maagizo ya amri hizi za Mungu yehova kusema; "Mpende jirani yako kama uipendavyo nafsi yako" na "mtendee ndugu yako kama ambavyo wewe unapenda utendewe..."

Nime - reflect matukio mawili:

1. Rais Samia/CCM/serikali vs Tundu Lissu na uhaini wake + mateso anayopewa huko gerezani ambako bado si mfungwa aliyehukumiwa na;

2. Rais Samia/CCM vs Luhaga Mpina juzi na udhalilisho alioupata mbele ya kadamnasi ya wananchi wake. Na honestly kabisa, hakuna kosa lolote alifanya mbunge yule wa CCM mbele ya mama yule kiasi cha yeye ku - react negatively kiasi kile...

Matukio hayo mawili tu katika mengi tunayotendeana wanadamu ni ya kusikitisha sana yanayopalilia hukumu kali ya adhabu dhidi ya wahusika pasipo wao kujua. Maana laiti wangejua kuwa unyama huohuo wautendao leo basi utawarudia kwa nguvu na kasi ile ile kama siyo wao moja kwa Moja, basi watoto wao, basi ni wazi kuwa wangetenda yawapasayo kutenda sasa..!

Mungu wa mbinguni ktk Yesu Kristo atusaidie, atuhurumie na kuturehemu tu..​
 
Hii falsafa naifananisha na falsafa ya kihindi ya karma .
Hii falsafa ngumu sana katika maisha halisi ya kidunia hii ya kimaterealistik and wealth creation.
Mfano umeamua kuwekeza kwenye uwekezaji wa majengo ya kupangisha ,umempangisha mtu mambo yake yamekwama mkataba umekwisha hatekelezi mkataba unaamua kumfukuza mara nyingine unatumia nguvu nyingi hadi kumtolea mali zake nje ya jengo.
Au umefungua uwekezaji wako umeajiri mtu ambaye baadae anakuwa mzembe au anakufanyia udanganyifu na wizi unagundua unaamua kumfukuza anakuwa jobless anaenda kuteseka.
Je hii falsafa itamrudia huyo alitenda hivyo?
 
The answer is very simple, we have an angel leading our nation, no maswali no kukosolewa
If you want to pursue your dream currently is to apply "UCHALISM" you will win
Did you mean "Uchawa - lism?

May be, though that's completely wrong pass..

And remember this, she's not an angel and she'll never be one. She's a completely a normal human being...

That's why she looks so confused right now for the internal & international criticism surrounding her and her government..!
 
For every action.... The Palm Beach

Kwa kiswahili:
Sheria ya Tatu ya Newton ya Mwendo

Kwa kila tendo, kuna tendo lingine sawa na kinyume chake.

Hii inamaanisha kwamba wakati wowote kitu kimoja kinapotumia nguvu kwa kitu cha pili, kitu cha pili hicho hicho hicho kwa wakati mmoja hutumia nguvu kwa kitu cha kwanza ambayo ina ukubwa sawa na mwelekeo kinyume. Nguvu hizi mbili hujulikana kama jozi ya tendo-itikio.

Hapa kuna pointi muhimu za kuelewa kuhusu Sheria ya Tatu ya Newton:

  • Nguvu huja kwa jozi kila wakati: Huwezi kamwe kuwa na nguvu moja iliyotengwa. Nguvu daima ni matokeo ya mwingiliano kati ya vitu viwili.
  • Sawa kwa ukubwa: Nguvu inayotumiwa na kitu cha kwanza kwa kitu cha pili ni sawa kabisa na nguvu inayotumiwa na kitu cha pili kwa kitu cha kwanza.
  • Kinyume kwa mwelekeo: Nguvu katika jozi ya tendo-itikio hufanya kazi katika mwelekeo tofauti kabisa.
  • Hutenda kwenye vitu tofauti: Hii ni hoja muhimu. Nguvu za tendo na itikio hazibatili kila mmoja kwa sababu zinatenda kwenye vitu tofauti. Ikiwa zingetenda kwenye kitu kimoja, basi hakuna mwendo ungekuwa ukifanyika.
Mifano ya Sheria ya Tatu ya Newton ikifanya kazi:

  • Kutembea: Unapotembea, miguu yako husukuma nyuma ardhini (tendo). Kwa kujibu, ardhi husukuma mbele kwenye miguu yako, ikikusukuma mbele (itikio).
  • Kuogelea: Mwogeleaji husukuma maji nyuma kwa mikono na miguu yake (tendo). Maji, kwa upande wake, husukuma mwogeleaji mbele, na kumruhusu kusonga kupitia maji (itikio).
  • Msukumo wa Roketi: Roketi hutoa gesi moto chini kutoka injini zake (tendo). Gesi hutoa nguvu sawa na kinyume chake juu ya roketi, na kusababisha kuruka na kuongeza kasi (itikio).
  • Kitabu juu ya meza: Kitabu kinachokaa juu ya meza hutoa nguvu ya kushuka kwenye meza kutokana na mvuto (tendo). Meza, ikiwa imara, hutoa nguvu sawa na kinyume chake juu ya kitabu, ikikizuia kuanguka chini (itikio). Nguvu hii ya juu inaitwa nguvu ya kawaida.
  • Kuruka: Unaporuka, miguu yako hutoa nguvu ya kushuka chini (tendo). Ardhi hutoa nguvu sawa na kinyume chake juu yako, ikikusukuma hewani (itikio).
Sheria ya Tatu ya Newton ni muhimu sana kwa kuelewa jinsi nguvu zinavyofanya kazi ulimwenguni, kutoka kwa mwingiliano rahisi wa kila siku hadi matukio magumu kama sayansi ya roketi na harakati za miili ya angani.
 
Hii falsafa naifananisha na falsafa ya kihindi ya karma .
Hii falsafa ngumu sana katika maisha halisi ya kidunia hii ya kimaterealistik and wealth creation.
Mfano umeamua kuwekeza kwenye uwekezaji wa majengo ya kupangisha ,umempangisha mtu mambo yake yamekwama mkataba umekwisha hatekelezi mkataba unaamua kumfukuza mara nyingine unatumia nguvu nyingi hadi kumtolea mali zake nje ya jengo.
Au umefungua uwekezaji wako umeajiri mtu ambaye baadae anakuwa mzembe au anakufanyia udanganyifu na wizi unagundua unaamua kumfukuza anakuwa jobless anaenda kuteseka.
Je hii falsafa itamrudia huyo alitenda hivyo?
Ili upate jibu la swali hili, ni huyu mtendaji wa kwanza kujiuliza maswali haya mawili, kwa maoni yangu;

1. Je, kweli ndugu yangu huyu kafilisika na hana uwezo sasa wa kunilipa..?

=====Ukipata jibu ni NDIYO, then uamuzi wake ungekuwa tofauti

2. Je, mimi ni "immortal" kwamba siwezi kujikuta niko kwenye hali kama iliyompata ndugu yangu huyu? Ningetendewa kama nilivyomtenda?

======Ukipata Jibu la NDIYO, basi obvious angeweza kuwa na maamuzi tofauti na aliyochukua
 
Ooh, Yes..

Thank you for the correction
Nikupe kitu kizima

Sir Isaac Newton, one of the most influential scientists in history, formulated three fundamental laws that describe the relationship between motion and the forces acting on an object. These laws form the basis of classical mechanics.

1. Newton's First Law of Motion: The Law of Inertia

Statement: An object at rest stays at rest, and an object in motion stays in motion with the same speed and in the same direction unless acted upon by an unbalanced external force.

Explanation: This law introduces the concept of inertia, which is the natural tendency of an object to resist changes in its state of motion.
  • If an object is stationary, it will remain stationary unless a force pushes or pulls it.

  • If an object is moving, it will continue to move at the same velocity (constant speed and in a straight line) unless a force causes it to speed up, slow down, or change direction.

    Examples:
  • A book sitting on a table will not move until someone pushes it.
  • When a car suddenly brakes, your body continues to move forward due to its inertia. This is why seatbelts are crucial.

  • A hockey puck sliding across a frictionless ice rink would theoretically continue moving forever at a constant velocity if there were no air resistance or friction.

2. Newton's Second Law of Motion: The Law of Acceleration​

Statement: The acceleration of an object is directly proportional to the net force acting on it and inversely proportional to its mass. The direction of the acceleration is in the direction of the net force.

Explanation: This law provides a quantitative relationship between force, mass, and acceleration.
  • More force, more acceleration: If you apply a greater net force to an object, it will accelerate more.

  • More mass, less acceleration: If an object has more mass, it will require a greater force to achieve the same acceleration.

  • The acceleration will always be in the same direction as the net force.

    Examples:
  • It's easier to push an empty shopping cart than a full one because the full cart has more mass, requiring more force to accelerate it.

  • A powerful kick on a football will send it flying much faster than a gentle tap, because the greater force produces a greater acceleration.
  • A small car will accelerate faster than a large truck with the same engine power because the car has less mass.

3. Newton's Third Law of Motion: The Law of Action and Reaction​

Statement: For every action, there is an equal and opposite reaction.

Explanation: This law highlights that forces always occur in pairs. When one object exerts a force on a second object (the action), the second object simultaneously exerts a force of equal magnitude and opposite direction back on the first object (the reaction).
  • These action-reaction forces always act on different objects, which is why they don't cancel each other out.

    Examples:
  • When you walk, your foot pushes backward on the ground (action), and the ground pushes forward on your foot, propelling you forward (reaction).
  • A rocket expels hot gases downward (action), and the gases push the rocket upward, causing it to launch (reaction).
    When you jump, your legs push down on the ground, and the ground pushes back up on your legs, launching you into the air.
  • A bird flies by pushing air downwards with its wings (action), and the air pushes the bird upwards (reaction).

    These three laws, formulated by Newton in his Philosophiae Naturalis Principia Mathematica (1687), laid the foundation for classical mechanics and revolutionized our understanding of motion and forces in the universe.
 
👆👆👆 in bold ink is 👍👍👍👍
 
Maana yake anachokifanya Samia saivi ni feedback/reaction ya walichokifanya TAL na Mpina.
 
Ili upate jibu la swali hili, ni huyu mtendaji wa kwanza kujiuliza maswali haya mawili, kwa maoni yangu;

1. Je, kweli ndugu yangu huyu kafilisika na hana uwezo sasa wa kunilipa..?

=====Ukipata jibu ni NDIYO, then uamuzi wake ungekuwa tofauti

2. Je, mimi ni "immortal" kwamba siwezi kujikuta niko kwenye hali kama iliyompata ndugu yangu huyu? Ningetendewa kama nilivyomtenda?

======Ukipata Jibu la NDIYO, basi obvious angeweza kuwa na maamuzi tofauti na aliyochukua
Unajiuliza na unapata jibu ndio ana shida .
Wewe upande wako ukijiangalia umewekeza let's say umekopa bank , wao nao wanakudai kwa muda maalumu .
Utachukua uamuzi gani na huo uwekezaji ndio unaoutegemea ulipie huo mkopo
 
Back
Top Bottom