Kutokana na maandamano ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya mzumbe wa kushinikiza madai yao kutatuliwa,serikali kupitia katibu tawala wa mkoa wa morogoro bwana Elia Ntandu wamefunga shule hiyo kwa siku zisizojulikana na wanafunzi wamepewa siku mbili kutoonekana ndani ya shule. source TBCCM.