newz HATIMAYE SERIKALI YAIFUNGA SEKONDARI YA MZUMBE

newz HATIMAYE SERIKALI YAIFUNGA SEKONDARI YA MZUMBE

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8,029
Reaction score
5,796
Kutokana na maandamano ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya mzumbe wa kushinikiza madai yao kutatuliwa,serikali kupitia katibu tawala wa mkoa wa morogoro bwana Elia Ntandu wamefunga shule hiyo kwa siku zisizojulikana na wanafunzi wamepewa siku mbili kutoonekana ndani ya shule. source TBCCM.
 
Back
Top Bottom