Next Black Panther (Parody)

Aaron Pierre naona atakuwa na cast nzito sana 2025 😃 ila Character ya Kanye West it's good! Ingawa pia kuna Raia wazuri tu Africa wanaweza kucheza character hii
 
Daniel Kaluuya ameshacheza uhusika wa W'Kabi, mume wa Okoye 😊 Hapo sidhani ataweza kucheza tena uhusika wa Black Panther
 
Aaron Pierre naona atakuwa na cast nzito sana 2025 😃 ila Character ya Kanye West it's good! Ingawa pia kuna Raia wazuri tu Africa wanaweza kucheza character hii
Movie moja tu nimewahi ona Kanye West kaigiza na sidhani kama inaguarantee kucheza character ya Black panther.

Jamie Fox na Daniel Kaluuya kwangu ni candidates bora. Ila Kaluuya itabidi atransform physically
 
Movie moja tu nimewahi ona Kanye West kaigiza na sidhani kama inaguarantee kucheza character ya Black panther.

Jamie Fox na Daniel Kaluuya kwangu ni candidates bora. Ila Kaluuya itabidi atransform physically
Lakini mkuu kumbuka character ya W'Kabi anacheza Daniel Kaluuya!
 
Hapa kuna matatizo sana.

Black Panthers wanatakiwa wawe cast wawili. Kuna mkubwa ambaye atakuwa ni variant kwenye hizi storyline za multiverse, na kuna mdogo, yule Toissant mtoto wa T'Challa, ambaye wanataka wamuweke akiwa mkubwa(miaka 10 zaidi)

Kuhusu huyo mdogo, hakuna taarifa zimetoka.

Kuhusu huyo mkubwa, waigizaji wanakataa hiyo role. Damson Idris ameikataa. John Boyega ameikataa, David Oyelowo amaeikataa.

Inasemekana wanaikataa kwasababu wamegundua waigizaji weusi wanafuatiliwa sana wakiwa kwenye roles kubwa, kwahiyo linaweza kuwatokea lile lililomtokea Jonathan Majors na role yake ya Kang.

Damson Idris ni wa moto sana siku hizi, alitaka kuchukua role ya John Stewart DC, sema Aaron Pierre akaipata. Anaona kama kuigiza role ndogo ya kuwa variant hakumtoshi.

John Boyega anasita sita kufanya kazi na disney, kuna role aliicheza kwa ajili ya disney wakashindwana.

David Oyewolo amekatataa vikali, amesema haiwezi legacy ya Chadwick Boseman.

Actors wawili waliowahi kusema wangependa kuigiza black panther ni Aldris Hodge, na Y'lan Noel.

Mashabiki wanampendelea Aldris Hodge kwasababu ya jinsi alivyoigiza Hawkman kwenye Black Adam.
 
Kuna channel ya reddit wanadai hata Russell Hornsby naye aliwakataa walitaka kumpa nafasi ya Variant akaona miyeyusho mapema. Eric Kofi Abrefa wanampigia chapuo naona confidence yake bado sana
 
Aaah si nyngi nitaichek..

vp yule dada roxie kwenye let it shine., una habari zake?

Nilihsi atakuwa mke wa tyler james(cyrus)..
Roxie alishindwa kubalance stardom binti wa watu, ukiachana na Let it Shine hakuna kingine cha msingi zaidi ya kuwepo kwenye Bel-Air. Let it shine ilipaa kutokana na Cyrus sio Rosie, ndo maana walimuondoa kwenye Hollywood Records chap walivyoona hana faida tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…