Kwenda andika kiswahili weye, kingeresa hapana jua kiswahili pia hapana chua sasa wewe bora kufa tuuKwani wewe ni gani inatawala uko kwenyu? Usiikatae leo kesho ukasema ndio. Umeona sisi nachangia politcs senu?
uyo sio candidate sahihi kwa kenya, odinga ndio sahihi.
Usisahau kuwa power sharing ya kibaki na raila haikuwa kwa kupenda but walilazimika iwe hivyo kutokana na hekima za wasuluhishi.Hawa kutokea sasa wameshajiwekea misingi imara ya namna watakavyo gawana hayo madaraka, na walicho sign ni makubaliano ya kisheria, kuna wataalamu wa sheria wengi sana hapo katika muungano wa NASA, hivyo wanatambua na kuiheshimu katiba ya Kenya pia.Sioni kama watafaulu kushinda uchaguzi, wakishindwa kufanyia amendment katiba na kukidhi matakwa yao katika kuingiza hivyo vyeo.Hawa NASA walifaa kuweka tamaa zao pembeni na wawe wazalendo, kwamba waishie kuwa na mgombea wa urais na makamu wake basi, sasa wameishia kutengeneza wadhifa wa waziri mkuu kinyemela na nyadhifa zingine za ovyo ili kila mmoja anyofoe vya kwake.
Ningewaona wa maana sana kama kweli wangeishia kuwa na mtu mmoja afuate urais na makamu wake, wengine wahusike katika kumpigia debe mgombezi. Sasa hizo nyadhifa wanazozitengeneza hazipo hata kwenye katiba, eti wameahidiana kwamba baada ya ushindi watabadilisha katiba ili wapeane hizo nyadhifa. Yaani katiba ya nchi ya watu zaidi ya milioni 40 ibadilishwe kuwafurahisha watu wawili.
Halafu baada ya hapo itakua ni uongozi wa vurugu tupu, maana tutakua na four centres of power, kila mmoja atakua anatoa tamko na kupingwa na mwengine. Nikikumbuka jinsi Kibaki na Raila walivyotuzingua kwa walivyokua wanaburuzana, yaani nahisi huruma kwa nchi yangu ikitokea hawa watashinda.
Usisahau kuwa power sharing ya kibaki na raila haikuwa kwa kupenda but walilazimika iwe hivyo kutokana na hekima za wasuluhishi.Hawa kutokea sasa wameshajiwekea misingi imara ya namna watakavyo gawana hayo madaraka, na walicho sign ni makubaliano ya kisheria, kuna wataalamu wa sheria wengi sana hapo katika muungano wa NASA, hivyo wanatambua na kuiheshimu katiba ya Kenya pia.Sioni kama watafaulu kushinda uchaguzi, wakishindwa kufanyia amendment katiba na kukidhi matakwa yao katika kuingiza hivyo vyeo.
ODM has refuted claims that Nasa has named Wiper leader Kalonzo Musyoka as its flag bearer, as alleged in a letter circulating on social media.
National Super Alliance leaders did not name a presidential candidate after signing an agreement on Wednesday at the Okoa Kenya secretariat.
Their deal outlined seven key pillars on they will anchor their campaign to remove President Uhuru Kenyatta from power.
This was signed by Raila Odinga (ODM), Musalia Mudavadi (Amani), Kalonzo Musyoka (Wiper) and Moses Wetang'ula (Ford Kenya).
Moments after, a statement purporting that Kalonzo would be the coalition's flag bearer was widely shared on social media.
The document had the signature of Siaya Senator James Orengo - chair of the 12-member steering committee working on the Nasa plan.
ODM communications director Philip Etale accused Jubilee of propagating the lies.
"Jubilee, you will forever be desperate. Even your desperation will not make Jesus notice you when he comes back," Etale said on Twitter.
He claimed the document was allegedly crafted by Jubilee and that it is not only fake but also malicious.
"Even a silly dog in the village will know the document Jubilee is spreading around is as fake as their ideas," he said.
Raila's spokesman Dennis Onyango asked Kenyans to "ignore the rubbish", adding that Nasa documents are signed by all the members of the steering committee.
"The documents are not signed by Orengo alone. As things stand today, Nasa has no letterhead or logo, contrary to what appears here," Onyango said.
"We, however, understand that desperate times will continue attracting desperate measures from Jubilee," he told the Star.
But the director of Jubilee campaign communication team, Albert Memusi, denied that Jubilee was responsible for the letter.
"We are not that cheap. We have not done anything like that. In fact we are encouraging them to come together because we need a worthy competitor," he told the Star via phone.
The document, which is labelled 'confidential', quotes Orengo saying that the Nasa steering committee agreed that Kalonzo should be named the presidential candidate "pending ratification of this decision by the Nasa delegates forum on March 22, 2017".
Nasa will hold its first rally in Eldoret town following the signing of the agreement.
Raila said all Kenyans are invited to the meeting where they will explain their August poll agenda to members of the public.
"Our first public function will be this Saturday in Eldoret. We will officially announce to Kenyans that Nasa is alive and kicking," he said.
More on this: Nasa unveils team of 12 to register, identify flag bearer for election
The coalition's coordinating committee was unveiled in January and hit the ground running to spearhead the search for its presidential candidate.
Nasa leaders Raila, Kalonzo, Musalia, and Wetang'ula said the team will also select a running mate for the presidential candidate.
The general election could well be a rematch between President Uhuru Kenyatta and Raila, despite talk of another joint opposition flag bearer
Upo sahihi sana, ila kwa hisia zangu naona Mudavadi ndio anaweza kuwa kikwazo kikubwa cha kukubaliana na mawazo kama haya unayoyawaza wewe, yeye ana amini ndie mwamba wa siasa katika kabila la Waluhya, Kalonzo na Wetangula naamini wanatambua politically hakuna anayemzidi nguvu Raila miongoni mwao.Nadhani hata katika uchaguzi uliopita Mudavadi aligoma kuunganisha nguvu na akagombea kwa bendera ya chama chake.In other words, huu unaitwa "ubinafsi".Tukiflip hii coin tutazame upande wa Jubilee namuona Ruto akiwa katika kiza kinene sana ikifika hiyo 2022, kwani wakikuyu hawatokubali kirahisi kukabidhi "inchi yao" kwakuwa walikubaliana kupokezana vijiti.Tunaweza kushudia Jubilee ikivunjika na bwana "Hustler"(Ruto) akibaki anahangaika.Siku zote hakuna power sharing ambayo huwa ya kupenda, hiyo ya Kibaki na Raila ilibidi Wakenya wafe ndio jamaa wakakaa chini na kukubaliana kugawana nyadhifa.
Hii ya leo kila mtu anataka kuvutia kwake, kila mmoja ana ubinafsi wa hali ya juu, hivyo imebidi wakubaliane kwamba watabuni nyadhifa zisizokua kwenye katiba ili kumridhisha kila mmoja. Kwamba wataanzisha na kiti cha Waziri mwenye mamlaka zaidi ya wote "chief minister", halafu wapambane katika kubadilisha katiba ili hicho cheo kiishie kuitwa "Waziri mkuu".
Ina maana tutakua tunabadilisha badilisha katiba kama karanga kusudi tuwafurahishe watu wachache. Mbona wasiwe wazalendo, waingie kwenye ushindani wa mchujo, atakayeibuka mshindi agombanie urais, na atakayemfuata awe makamu halafu wengine wasubiri kupokezwa nyadhifa zilizopo sasa hivi kikatiba iwapo watashnda.
Huyo Raila ana ushawishi mkubwa zaidi ya wote, akifuatwa na Kalonzo, kama vipi wangeicheza hivyo halaafu hao wawili akina Mudavadi na Wetangula wakubali kuwapigia debe. Ifahamike Raila ana ushawishi mkubwa hata nyumbani kwa hao Mudavadi na Wetangula, anaweza akawashinda hata kwao.
Huu mchezo hata Jubilee wameucheza japo kimya kimya, makamu wa rais Ruto ameahidiwa kuungwa mkono na wafuasi wa rais Uhuru kwenye uchaguzi wa 2022, sasa hapo ndio mtihan mwengine, kwamba jamaa wote wamegawana na kujipangia jinsi watatawala nchi.
Tatizo kubwa ni hili la demokrasia, japo demokrasia yetu ni ya hali ya juu, lakini wananchi hawajapata elimu vizuri ya kuelewa nguvu walizonazo. Kwamba leo hii tuna nguvu na uwezo wa kumchagua mtu tofauti kabisa na nchi itawalike bila haya makubaliano ya ovyo baina ya viongozi.
Upo sahihi sana, ila kwa hisia zangu naona Mudavadi ndio anaweza kuwa kikwazo kikubwa cha kukubaliana na mawazo kama haya unayoyawaza wewe, yeye ana amini ndie mwamba wa siasa katika kabila la Waluhya, Kalonzo na Wetangula naamini wanatambua politically hakuna anayemzidi nguvu Raila miongoni mwao.Nadhani hata katika uchaguzi uliopita Mudavadi aligoma kuunganisha nguvu na akagombea kwa bendera ya chama chake.In other words, huu unaitwa "ubinafsi".Tukiflip hii coin tutazame upande wa Jubilee namuona Ruto akiwa katika kiza kinene sana ikifika hiyo 2022, kwani wakikuyu hawatokubali kirahisi kukabidhi "inchi yao" kwakuwa walikubaliana kupokezana vijiti.Tunaweza kushudia Jubilee ikivunjika na bwana "Hustler"(Ruto) akibaki anahangaika.
Ah ah ah mkuu unaandika kama unavyo ongeaKwani wewe ni gani inatawala uko kwenyu? Usiikatae leo kesho ukasema ndio. Umeona sisi nachangia politcs senu?
Upo sahihi sana, ila kwa hisia zangu naona Mudavadi ndio anaweza kuwa kikwazo kikubwa cha kukubaliana na mawazo kama haya unayoyawaza wewe, yeye ana amini ndie mwamba wa siasa katika kabila la Waluhya, Kalonzo na Wetangula naamini wanatambua politically hakuna anayemzidi nguvu Raila miongoni mwao.Nadhani hata katika uchaguzi uliopita Mudavadi aligoma kuunganisha nguvu na akagombea kwa bendera ya chama chake.In other words, huu unaitwa "ubinafsi".Tukiflip hii coin tutazame upande wa Jubilee namuona Ruto akiwa katika kiza kinene sana ikifika hiyo 2022, kwani wakikuyu hawatokubali kirahisi kukabidhi "inchi yao" kwakuwa walikubaliana kupokezana vijiti.Tunaweza kushudia Jubilee ikivunjika na bwana "Hustler"(Ruto) akibaki anahangaika.
Ukabila
Kwenda andika kiswahili weye, kingeresa hapana jua kiswahili pia hapana chua sasa wewe bora kufa tuu
Hapo bado huaipatia, umeteleza. Huyo Mudavadi hana ushawishi kihivyo, siku zote alikua anategemea mgongo wa Raila na alipojitenga akapigwa chini hata kwake. Hayo ya kumtawaza kuwa msemaji wa Waluhya ilikua kiini macho na bado kuna kundi kubwa la Waluhya ambalo linamskliza Raila.
Hebu tazama kura chache alizopata Mudavadi baada ya yeye kupambana kivyake 2013.
Hamna jinsi hawa NASA wanaweza kushinda bila kuwa na mchanganyiko wa Raila na Kalonzo, mmoja wao awe rais na mwengine awe makamu. Japo umakamu wa Raila utakua tabu tupu maana jamaa hajazoea kumkaimu yeyote na ni mbishi balaa, nchi haitatawalika, watakua wanabishana kila uchao.
Halafu hilo la kusema Wakikuyu wana nchi yao halipo maana, kuna miaka 24 nchi ilitawaliwa na mtu asiye Mkikuyu. Tatizo lililopo Kenya ni kwamba likija suala la uchaguzi, tunashindana kwa misingi ya kikabila, hivyo kabila lenye watu wengi likiungana na lingine tunaishia kuwa na kitu wanaita tyranny of numbers. Ingekua bora sana tuwe tunashindana kwa hoja kama ughaibuni.
Jubilee nao naona watailemaza nchi na hayo makubaliano yao, maana Ruto asipoungwa mkono 2022, basi patachimbika hususan mkoa wa bonde la ufa. Haya makubaliano huwa ya ovyo sana, na ndio pia Kalonzo na Raila walikubaliana mnamo 2013, japo naona Raila kaghairi na kusaliti.